Mali Court Upholds Ex-PM’s Prison Sentence
Mara, who was prime minister of the west African country for eight months from 2014 until 2015, was charged with “undermining the credibility of the state and opposing legitimate authority” in October.

The case has been postponed to Wednesday, 11th 2026.
Tundu Lissu alisisitiza kuwa kizimba kilichotumika hakiwezi kutambuliwa kama kizimba cha mashahidi kwa mujibu wa kanuni na tafsiri ya kisheria. Alidai kuwa kizimba hicho hakionekani na waheshimiwa majaji, hali ambayo kwa mtazamo wake inakiuka misingi ya usikilizwaji wa haki.
Eric Langat, maarufu Kirinyet, alipatikana katika hali ya kutatanisha na mgonjwa ndani ya chumba cha ushauri baada ya wenzake kukimbilia kufuatia kelele za msaada.
Eric Langat, popularly known as Kirinyet, was discovered in a compromising situation with the woman inside a consultation room after colleagues rushed to respond to her distress call.
Lissu alieleza kuwa haki yake ya kuwasiliana na mawakili wake imekuwa ikikiukwa kwa muda mrefu, akidai kuwa maafisa wa magereza wamekuwa wakisikiliza mazungumzo yake na mawakili wake kinyume na sheria.