Asia Gamba
-

IGP, RPC Tanga washtakiwa sakata la Kombo Mbwana
Mawakili tisa wanaomwakilisha kada wa Chadema, Kombo Mbwana wamefungua kesi dhidi ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Camilius Wambura na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi, wakiomba mteja wao aachiliwe huru na alipwe…
-

Polisi nchini Uganda wazagaa kila kona kudhibiti maandamano yaliyopangwa kufanywa leo
Polisi nchini Uganda wamezagaa kila kona ya mji Mkuu wa nchi hiyo ili kudhibiti maandamano yaliyopangwa kufanywa leo Jumanne licha ya kuwa mamlaka zimepiga marufuku maandamano hayo.
-

Ofisi za chama cha Bobi Wine zazingirwa na polisi kufuatia mpango wa maandamano Uganda
Hatua hiyo inajiri siku mbili baada ya Rais Yoweri Museveni, ambaye ametawala nchi hiyo kwa mkono wa chuma kwa takriban miongo minne, kuonya kwamba Waganda wanaopanga kuingia mitaani Jumanne “wanacheza na moto”.
-

Nape ajiondoa kwenye mtandao wa X(Twitter) baada ya kutumbuliwa Uwaziri.
Itakumbukwa kuwa taarifa ya Ikulu ya utenguzi wa Nape ilimkuta Waziri huyo wa zamani akiwa katikati ya hafla ya utoaji tuzo za wanawake wa kidigitali zilizofanyika katika ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam…
-

Rais wa Afrika Kusini kuweka wazi mipango mipya ya serikali
Wiki chache baada ya kupiga kura, ANC ilifikia makubaliano ya kugawana madaraka ambayo hayajawahi kufanywa na vyama vingine 10, ikijipatanisha na mrengo wa kati katika hatua ambayo baadhi ya wachambuzi walisema ingewahakikishia wawekezaji.
-

Kada wa Chadema aliyetoweka na kukutwa polisi apandishwa kizimbani kimya kimya na kusomewa mashtaka matatu
Kwa mujibu wa hati ya mashtaka ya kesi namba 19759/2024, Kombo ameshtakiwa kwa makosa matatu ambayo ni pamoja na kushindwa kutoa taarifa za kutosha za akaunti ya kadi yake ya simu, kinyume cha kifungu 126…
-

Nape aomba radhi kufuatia kauli yake ya CCM kushinda uchaguzi kwa njia haramu
Nape ameomba radhi leo ikiwa tayari kumekuwa na gumzo na sintofahamu iliyojaa mjadala wenye hisia mseto kufuatia kauli yake hiyo iliyozagaa mitandaoni tangu Julai 15,2024.










