Asia Gamba
-

Polisi Kenya watumia vitoa machozi kukabiliana na waandamanaji
Wanaharakati wakiongozwa na vijana wa Gen-Z Wakenya walianzisha mikutano ya amani mwezi mmoja uliopita dhidi ya ongezeko la ushuru ambalo halikupendwa na watu wengi lakini waliingia kwenye ghasia mbaya mwezi uliopita, na kumfanya Ruto kuachana…
-

Tanzania, Marekani kuongeza nguvu ya pamoja kukabiliana na ugonjwa wa Saratani
Tanzania na Marekani wamekubaliana kukabiliana na uhaba wa wataalamu, ukosefu wa miundombinu wezeshi, Vifaa Tiba hususani vya kutoa huduma za Mionzi, Takwimu, Tafiti pamoja na Ubunifu ili kuwezesha wananchi wa Afrika kupata huduma bora za…
-

Fukuto ndani ya TLS lazidi kuongezeka, Mawakili waamua kuishtaki
Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Kanda ya Ziwa, Steven Kitale amefungua shauri la mapitio ya kimahakama dhidi ya TLS. Shauri hilo namba 16018/2024, lililofunguliwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza mnamo…
-

Amng’oa meno mkewe kisa shilingi 200
Jeshi la Polisi mkoani Mara linamshikilia mkazi mmoja wa Kijiji cha Nyakatende wilayani Musoma, Musa Abdallah kwa tuhuma za kumn’goa meno matatu mke wake kwa kutumia Praizi kwa kile kilichoelezwa ni ugomvi wa Sh. 200.
-

Sarakasi kuelekea uchaguzi wa TLS na kuondolewa kwa Mwabukusi
Uchaguzi wa rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), umekuwa na sarakasi zilizoibua wadau wa sheria nchini kufuatia kuondolewa kwa jina la miongoni mwa wagombea wa nafasi hiyo Wakili Boniface Mwabukusi jambo linalodaiwa kuwa kuna…
-

Kesi ya Kabendera dhidi ya Vodacom anayoituhumu kuhusu kutekwa kwake kusikilizwa leo
Katika kesi hiyo Kabendera anaoimba mahakama hiyo iiamuru kampuni hiyo imlipe fidia ya Dola za Marekani 10 milioni ambazo ni sawa na shilingi bilioni 28, akiituhumu kuwa ndio iliyofanikishwa kukamatwa kwake na askari Polisi, tukio…
-

Alieychoma picha ya Rais Samia atoka gerezani.
Kijana Shadrack Chaula amelipa fedha hizo baada ya kuchangwa na wanaharakati na wananchi kutoka maeneo mbalimbali nchini.
-

Samia amtaka Waziri kumpatia ripoti ya Kariakoo kila baada ya miezi mitatu
Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri wa Viwanda na Biashara, Selemani Jafo kwenda ‘kushinda’ Kariakoo badala ya kukaa ofisini ili kushughulikia changamoto za wafanyabiashara wa eneo hilo pamoja na nchi nzima kisha kumpatia ripoti kila…
-

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa azindua kamati ya kitaifa ya AFCON 2027
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 05, 2024 amezindua Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) na kuahidi kuwa Serikali itafanya nayo kazi kwa karibu ili iweze kufanikisha malengo…
-

Waziri wa mambo ya ndani Tanzania ashangazwa na watu kuhusisha siasa na utekaji unaoendelea nchini humo.
Waziri Masauni ametoa kauli hiyo leo katika uzinduzi wa kitabu cha Shekhe Mkuu wa Tanzania, Mufti Abubakar Zuberi huku akishangazwa na namna ambavyo siasa imekuwa ikitumika katika matukio hayo kwa kuyahusisha na vyombo vya dola…







