Asia Gamba
-

Bei ya Petroli yashuka kiduchu
Kwa mwezi huu wa Juni bei ya rejareja ya mafuta ya petroli kupitia Bandari ya Dar es Salaam imeshuka kwa shilingi 53 na kufikia shilingi 3,261 kwa lita moja, ikilinganishwa na bei ya mwezi Mei…
-

Ubalozi wa Tanzania nchini Korea wakana taarifa ya Tanzania kusaini mkataba unaouza bahari na madini yake.
Ubalozi wa Tanzania nchini Korea Kusini umesema Tanzania haijasaini mkataba wowote na Jamhuri ya Korea unaohusu Bahari wala Madini katika ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan inayoendelea nchini humo.
-

Afrika Kusini yajipanga kwa msukosuko wa kisiasa baada ya uchaguzi mkuu
Iwapo chama cha African National Congress (ANC) kitathibitishwa kuwa kimeshuka chini ya asilimia 50 ya kura, kitalazimisha chama kutafuta washirika wa muungano ili kuchaguliwa tena kuunda serikali mpya.
-

Tovuti ya Tume ya Uchaguzi Afrika Kusini yazimwa.
Mfumo Tovuti ya tume ya uchaguzi ya Afrika Kusini imeonekana kuingiliwa leo Ijumaa wakati nchi hiyo ikihesabu kura za uchaguzi mkuu ambapo chama tawala cha ANC kilionekana kupoteza wingi wake.
-

Waafrika Kusini leo wanapiga kura huku chama tawala cha ANC kikitajwa kupoteza umaarufu.
Zaidi ya wapiga kura milioni 27 wameandikishwa katika uchaguzi ambao haukuwa na uhakika tangu chama cha African National Congress (ANC) kuliongoza taifa hilo kutoka kwa utawala wa kibaguzi — na huku Rais Cyril Ramaphosa akiomba…
-

DRC yatangaza Serikali mpya yenye Waziri Mkuu wa kwanza mwanamke nchini humo
Katika taarifa lililotolewa mapema leo na msemaji wa serikali ya Kongo Tina Salama na kurushwa na televisheni ya taifa RTNC, baraza hilo jipya lina mawaziri 54 ikilinganishwa na 57 katika serikali iliyopita.
-

Mchango wa kununua gari jipya la Lissu wafikia milioni 24.9
Kupitia ukurasa wa X Lissu alithibitisha kupokea kiasi hicho cha fedha na kuomba wadau waendelee kumchangia apate gari hilo “kwa ajili ya harakati za ukombozi”.
-

Tanzania kuwa mwenyeji maadhimisho ya miaka 20 ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika.
Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa maadhimisho ya miaka 20 ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (PSC-AU) yatakayofanyika kesho Mei 25, 2024 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere, jijini…
-

Mgogoro wa utekaji nyara nchini Nigeria
Miaka kumi baada ya utekaji nyara wa wasichana wa shule ya Chibok, Nigeria inakabiliwa na kuzuka kwa utekaji nyara mkubwa.
-

Ni nini Kilichosababisha Mtandao Kukatika Afrika Mashariki?
Kukatika kwa mtandao kwa sasa katika Afrika Mashariki kunahusisha kukatwa mara tatu kwa nyaya za chini ya bahari na hitilafu katika mfumo mwingine. Ben Roberts wa Liquid Telecom aliripoti masuala na Mfumo wa Kebo wa…







