Zoezi la kuhesabu kura laanza polepole nchini Msumbuji
Zaidi ya watu milioni 17 walipiga kura siku ya Jumatano kwa ajili ya uchaguzi wa rais mpya na wabunge katika nchi hiyo ya kusini mwa Afrika, ambayo ni miongoni mwa nchi maskini zaidi duniani licha ya kuwa na akiba kubwa ya gesi.