• Home
  • Politics
  • Business / Finance
  • Sports
  • Entertainment
  • Africa
  • East Africa
  • Home
  • Politics
  • Business / Finance
  • Sports
  • Entertainment
  • Africa
  • East Africa
X-twitter Youtube Tiktok Facebook-f Icon-instagram-1 Linkedin Telegram Whatsapp

Author: Asia Gamba

Mbunge wa CCM aishauri Serikali kuongeza bei ya mafuta Dar
Africa East Africa

Mbunge wa CCM aishauri Serikali kuongeza bei ya mafuta Dar

Asia GambaApril 18, 2023April 18, 2023

Mbunge wa jimbo la Ukonga mkoani Dar es Salaam, Jerry Silaa ameishauri Serikali iweke tozo ya shilingi 100 kwenye kila lita ya mafuta yanayonunuliwa mkoani Dar es Salaam, ili kupata pesa za kujenga barabara za mkoa huo.

Serikali kuweka mfumo mpya mikopo ya asilimia 10
Africa East Africa

Serikali kuweka mfumo mpya mikopo ya asilimia 10

Asia GambaApril 14, 2023April 14, 2023

Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amezielekeza Halmashauri zote nchini humo kusitisha utoaji wa fedha za mikopo kwa makundi maalum ya vijana, wanawake na wenye ulemavu kuanzia Aprili hadi Juni, 2023 wakati Serikali inajipanga kuweka mfumo mpya wa utoaji wa mikopo hiyo.

LATRA yataka madereva wa “school bus” wasajiliwe kudhibiti ukatili wa kijinsia
Africa East Africa

LATRA yataka madereva wa “school bus” wasajiliwe kudhibiti ukatili wa kijinsia

Asia GambaApril 12, 2023April 12, 2023

Hatua hiyo imekuja baada ya kuwepo kwa matukio ya kuwafanyia vitendo vya ukatili na ukiukwaji wa maadili na udhalilishaji kwa wanafunzi unaofanywa kwenye mabasi ya shule.

Waliofutiwa matokeo kidato cha nne kurudia mtihani mwezi Mei
Africa East Africa

Waliofutiwa matokeo kidato cha nne kurudia mtihani mwezi Mei

Asia GambaApril 12, 2023April 12, 2023

Waziri wa Elimu, Profesa Adolf Mkenda amesema kuwa ruhusa hiyo ni kwa wanafunzi wote waliofutiwa matokeo wakiwemo wanafunzi wanne waliofutiwa kwa kuandika matusi. 

Bei ya mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa yapungua nchini Tanzania
Africa East Africa

Bei ya mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa yapungua nchini Tanzania

Asia GambaApril 5, 2023April 5, 2023

Taarifa ya Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Dk James Mwainyekule imeeleza kuwa bei za rejareja za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa yaliyopokelewa kupitia Bandari ya Dar es Salaam zimepungua kwa shilingi 187 kwa lita, shilingi 284 kwa lita na shilingi 169 kwa lita mtawalia, ikilinganishwa na toleo la Machi Mosi mwaka huu.

Kamala Harris awasili Tanzania kuanza ziara yake ya siku tatu.
Africa East Africa

Kamala Harris awasili Tanzania kuanza ziara yake ya siku tatu.

Asia GambaMarch 30, 2023March 30, 2023

Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris amewasili Dar es Salaam nchini Tanzania usiku wa Jumatano kwa ziara yake rasmi ya kiserikali ya siku tatu nchini humo

Taifa Stars kuikabili The Cranes ya Uganda leo
Football Sports

Taifa Stars kuikabili The Cranes ya Uganda leo

Asia GambaMarch 24, 2023March 24, 2023

Timu ya Taifa nchini Tanzania Taifa Stars inatarajiwa kushuka dimbani leo nchini Misri kuikabili The Cranes (Uganda) katika mchezo wa tatu wa Kundi F wa kuwania kufuzu fainali za Mataifa ya Africa (AFCON) mwaka 2023 nchini Ivory Coast.

Watu 193 waliochangamana na wenye vurusi vya Murburg wawekwa karantini nchini Tanzania. 
Africa East Africa

Watu 193 waliochangamana na wenye vurusi vya Murburg wawekwa karantini nchini Tanzania. 

Asia GambaMarch 24, 2023March 24, 2023

Mganga Mkuu wa Serikali nchini Tanzania, Dk Tumaini Nagu amesema wagonjwa watatu waliogundulika kuwa na virusi vya Marburg wanaendelea na matibabu na hali zao zinaendelea kuimarika na hakuna maambukizi ya watu wengine tangu kuliporipotiwa kuzuka kwa virusi hivyo.

Tanzania yaweka mikakati kudhibiti homa ya Marburg
Africa East Africa

Tanzania yaweka mikakati kudhibiti homa ya Marburg

Asia GambaMarch 23, 2023March 23, 2023

Siku mbili baada ya kutangazwa kuibuka kwa ugonjwa wa Marburg nchini Tanzania Serikali ya nchi hiyo imetoa mwongozo kwa wasafiri kote kwa kuzingatia kanuni za kimataifa, huku ikiagiza utekelezaji wake uanze mara moja.

Kardinali Pengo azuru kaburi la JPM
Africa East Africa

Kardinali Pengo azuru kaburi la JPM

Asia GambaMarch 17, 2023March 17, 2023

Akizungumuza jana na waandishi wa habari akiwa ofisi ya Askofu wa Jimbo Katoliki la Geita, Kardinali Pengo alisema amefanya hivyo kwani hakupata fursa hiyo wakati wa mazishi ya Dk Magufuli.

Posts navigation

Older posts
Newer posts

Uncensored & Undaunted

Find Us Here

Facebook-f X-twitter Linkedin-in Youtube Instagram
  • Privacy Policy
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • Terms & Conditions

Mwanzo Tv News 

All Rights Reserved © 2024

We use cookies to ensure that we give you the best experience on our website. If you continue to use this site we will assume that you are happy with it. Privacy policy