Bilioni 7 kutumika kukarabati kivuko cha MV Magogoni
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa amesema, ukarabati wa Kivuko cha MV Magogoni ni juhudi na mikakati ya serikali katika kuboresha miundombinu mbalimbali ya usafirishaji nchini.
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa amesema, ukarabati wa Kivuko cha MV Magogoni ni juhudi na mikakati ya serikali katika kuboresha miundombinu mbalimbali ya usafirishaji nchini.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Ali Makame, akitoa ufafanuzi kuhusu kifo hicho jana, alidai kuwa mtuhumiwa alichukua uamuzi huo akiwa mikononi mwa polisi, akituhumiwa kuhusika na mauaji na kukodi watu kwa ajili ya kutekeleza mauaji.
Tukio hilo limetokea Februari 13, 2023 katika eneo la mtaa wa Mwasenga, Manispaa ya Kigoma Ujiji, muda mfupi mara baada ya watoto waliokuwa wakitoka shule kurusha mawe juu ya mwembe huo na kusababisha nyuki kuzagaa na kumvamia mwalimu huyo na kumshambulia na hatimaye kupoteza maisha.
Akizungumza leo Februari 15, 2023 Ahmed Ally amesema jezi hizo zilianza kukwama nchini China hivyo zilifanyika juhudi za kusukuma mzigo huo ili kuachiwa kwa haraka na baada ya kuachiwa ukakwama tena Ethiopia.
Rais Samia Suluhu Hassan, ametangaza kununua kila goli litakalofungwa katika michezo ya kimataifa ya Simba na Yanga itakayochezwa mwishoni mwa wiki hii.
Vitabu hivyo16 vilivyopigwa marufuku vimekutwa katika baadhi ya shule si kama vitabu haya kiada wala ziada ambapo maudhii yake yanakizana na Mila, Desturi na Utamaduni wa Mtanzania na yanahatarisha ukuaji wa wanafunzi.
Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson ameamuru kufutwa katika taarifa rasmi za Bunge maneno aliyotamka Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba katika kikao cha pili cha mkutano wa 10 wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania wakati akichangia taarifa za kamati za kudumu za bunge za Ardhi, Maliasili na Utalii na kamati ya Viwanda, Biashara na Mazingira.
Serikali ya Tanzania imefungua milango ya ushirikiano wa kibiashara na kiuchumi kati ya Tanzania na Marekani kupitia Sekta Binafsi ili kuchochea biashara kupitia uwekezaji ikiwa ni utekelezaji wa mazungumzo kati ya Marais wa nchi hizo mbili yaliyofanyika hivi karibuni mjini Washington DC.
Taarifa iliyotolewa leo January 26,2023 kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Polisi imeeleza kuwa hali ya ulinzi na usalama ni shwari kwani matukio makubwa yanayoweza kuleta hofu kwa Wananchi yanaendelea kudhibitiwa.
Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) jana imezindua rasmi misheni ya uhakiki ili kutathmini utayari wa ushirikiano wa Jamhuri ya Somalia kujiunga na Jumuiya hiyo.