Asia Gamba
-

Shilingi ya Kenya yashuka huku nchi ikikabiliwa na mfumuko wa bei
Shilingi imekuwa ikishuka kwa miaka kadhaa na kuporomoka kwa karibu asilimia 24 katika mwaka uliopita, chini ya shinikizo la viwango vya juu vya deni na kupungua kwa mapato ya serikali.
-

Tanzania yaendelea na makubaliano ya mkataba wa bandari na kampuni ya DP World licha ya ukosoaji
Kampuni kubwa ya usafirishaji ya Dubai DP World ilitia saini mikataba mitatu siku ya Jumapili na serikali ya Tanzania ya kuendesha sehemu ya bandari ya Dar es Salaam kwa miaka 30 chini ya mkataba wenye…
-

Wanne wafariki nchini Kenya katika mkanyagano kutokana na hofu ya ya gesi ya kutoa machozi
Wanawake wanne wamefariki dunia katika mkanyagano magharibi mwa Kenya leo Ijumaa baada ya umati wa watu kuogopa mlio uliotokana na kumwagika kwa chai ya muuzaji mmoja kwenye moto wakidhanini ni gesi ya kutoa machozi .
-

Matumizi ya kituo cha Kivukoni mwisho leo
Kituo cha daladala cha Kivukoni jijini Dar es Salaam kitafungwa kuanzia kesho Oktoba 21 kupisha upanuzi wa kituo cha mabasi yaendayo haraka cha Kivukoni awamu ya kwanza.
-

TBS yapiga marufuku uagizaji wa mitungi ya mtumba ya gesi asili kwa ajili ya magari
Shirika la Viwango Tanzania (TBS), limewataka wauzaji na wasambazaji wa gesi asilia kwa ajili ya matumizi ya magari, pamoja na vifaa vinavyohusika katika mfumo wa gesi hiyo, kuzingatia ubora wa viwango vinavyohitajika vya vifaa hivyo,…
-

UTAFITI: Waliowekewa betri ya moyo wana hatari kupata changamoto ya akili
Utafiti huo uliofanywa na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), ulihusisha wagonjwa sita ambao wamewekewa betri hiyo baada ya kufanyiwa vipimo vya mtambo mkubwa uitwao CathLab.
-

HRW yaishutumu Rwanda kuhusika na mauaji ya wakosoaji dhidi ya Serikali ya Kagame
Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limeishutumu Rwanda kwa kutumia mbinu za ukandamizaji kuwalenga wakosoaji wake nje ya nchi, wakiwemo wale ambao wametafuta ulinzi wa kimataifa
-

Mwakinyo kutoonekana kwenye ulingo wa ngumi ndani ya mwaka mmoja
Mwakinyo amepewa adhabu hiyo baada kugomea kupanda ulingoni September 29, 2023 katika pambano lake dhidi ya Julius Indonga kutokea Namibia kwa madai ya Promota kukiuka baadhi ya makubaliano yao..
-

Chadema yalimwa barua na Msajili wa Vyama vya Siasa, awataka wajieleze kuhusu kuchapisha maudhui yanayomdhalilisha mwenyekiti wa CCM Samia Suluhu
Chama cha Demokrasia na Mendeleo CHADEMA, kimesema kimepokea barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania ikiwataka wajieleze kuhusu kutengeneza maudhui yanayotajwa kuwa yanamdhalilisha Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye ni Rais Samia Suluhu Hassani.
-

Bei ya mafuta yazidi kupanda bei huku gharama za maisha zikiongezeka Tanzania
Kwa bei zilizotangazwa kuanza kutumika leo, gharama ya lita moja kwa mafuta yaliyopakuliwa Dar es Salaam ni shilingi 3,281/lita ya petroli, shilingi 3,448/lita ya Dizeli na shilingi 2,943/lita ya mafuta ya taa. Kwa mafuta yaliyopakuliwa…







