Asia Gamba
-

Bilioni 1.23 kuwalipa wananchi 804 wanaopisha ujenzi wa bomba la mafuta Tanzania
Serikali ya Tanzania imetumia shilingi bilioni 1.23 kwa ajili ya kulipa fidia wananchi 804 waliosaini mikataba ya fidia na kulipwa ili kupisha mradi wa Bomba la Mafuta ghafi wa Afrika Mashariki kwa Mkoa wa Dodoma.
-

Kibarua kwa bosi mpya wa TANESCO, Rais Samia ampa miezi sita kumaliza tatizo la kukatika umeme Tanzania.
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amempa miezi sita Mkurugenzi mpya wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kukomesha mgao wa umeme unaoendelea kuathiri shughuli za kijamii na kiuchumi nchini.
-

ACT Wazalendo yapinga matokea ya uchaguzi mdogo wa ubunge Mbarali
Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu akizungumza baada ya matokeo hayo kutangazwa na Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Mbarali ambapo alimtangaza ndugu Bahati Keneth Ndingo kwa kura 44334…
-

Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Tanzania anayedaiwa kuimba uchochezi afikishwa mahakamani.
Mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini Tanzania Sifa Boniventure(25) na Producer wake Ezekia George wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya kwa ajili ya kusomewa mashtaka yanayowakabili.
-

Uchaguzi mdogo wa Ubunge kufanyika kesho Mbarali
Kwa mujibu wa taarifa ya NEC iliyotolewa leo ni kwamba uchaguzi wa jimbo hilo la Mbarali unakwenda sambamba na mchakato wa kata sita za Tanzania Bara ambao utahusisha vituo 580 vya kupigia kura.
-

Ummy:Watumishi wa Afya walipwe stahiki zao kwa wakati
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Songwe Dkt. Francis Michael kuwahimiza Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa huo kuwalipa watumishi wa Afya stahiki zao kwa wakati.
-

Miaka sita tangu Tundu Lissu apigwe risasi
Leo imetimia miaka sita katika historia ya maisha ya mwanasiasa na mwanasheria nguli nchini Tanzania Tundu Lissu, ambaye sasa amepata ulemavu wa kudumu baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana siku kama ya leo Septemba…
-

Rais Samia amtaka Waziri mpya wa TAMISEMI kuhakikisha anatimiza jukumu la kupatikana ushindi kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Rais Samia ameeleza hayo leo Ikulu ndogo ya Visiwani Zanzibar wakati akiwaapisha vingozi wateule aliowateua Agosti 30,2023 ambapo pamoja na mambo mengine ameweka msisitizo wake kwa aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa ambaye…
-

Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la unajisi na kumwingilia kinyume na maumbile binti wa miaka 9
Mahakama ya Hakimu mkazi Mbeya imemhukumu kifungo cha maisha jela Ezekia Mwaitoto Msawile (45) mkazi wa Ilemi jijini Mbeya baada ya kupatikana na hatia ya makosa mawili ya unajisi na kumwingilia kinyume cha maumbile mtoto…
-

Tanzania kuendesha kampeni ya chanjo ya Polio kwa mikoa sita inayopakana na Zambia na Burundi.
Tanzania inajiandaa kufanya kampeni ya utoaji wa chanjo ya Polio Virus 2 (CVDPV2) katika Mikoa 6 inayopakana na nchi za Zambia na Burundi ambapo zoezi hilo limepangwa kufanyika mwezi Septemba na Novemba Mwaka huu 2023…







