Auawa kwa bomu akiwa kilabuni nchini Tanzania
Kamanda wa Polisi Mkoa Kigoma, Filemon Makungu alisema kuwa aliyeuawa kwenye tukio hilo ni Amos Petro (45) na watu wengine wawili walijeruhiwa.
Kamanda wa Polisi Mkoa Kigoma, Filemon Makungu alisema kuwa aliyeuawa kwenye tukio hilo ni Amos Petro (45) na watu wengine wawili walijeruhiwa.
Takwimu zilizotolewa leo na WHO kanda ya Afrika zinaonyesha kiwango cha changamoto ya ugonjwa wa kisukari Afrika ni kikubwa ambapo watu wazima milioni 24 hivi sasa wanaishi na ugonjwa wa kisukari na idadi inatarajiwa kuongezeka kwa asilimia 129% hadi kufikia watu million 55 ifikapo mwaka 2045.
Akitoa taarifa mbele ya kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya ya Mpanda, Afisa mtendaji wa Kata ya Itenka Yegela Samike amesema mvua hiyo ilinyesha Novemba 9, 2022 majira ya saa 12:45 jioni.
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia wanafunzi 28,000 waliokidhi vigezo vya kupata mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka 2022/2023 waende vyuoni kuendelea na usajili chini ya uratibu wa Wizara ya Elimu wakati taratibu muhimu zikikamilishwa.
Spika wa Bunge la Tanzania, Dk Tulia Ackson amesema kuna mambo ambayo hawajaafikiana na Serikali hivyo umeondolewa katika ratiba ya shughuli za leo ambapo Bunge linaahirishwa.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji nchini Tanzania(Ewura), Mhandisi Modeatus Lumato amesema Tanzania ni kati ya nchi zinazouza mafuta kwa bei ya chini kutokana na ruzuku ya Serikali.
Taarifa iliyotolewa leo na shirika hilo ni inaeleza kuwa mabadiliko hayo yametokana na changamoto za kiufundi duniani kote za injini aina ya PW1524G-3 zinazotumika kwenye ndege aina ya Airbus A220-300
Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amewataka wakuu wa mikoa nchini humo, viongozi wa wilaya na bodi za mabonde ya maji kufanya jitihada za ziada katika udhibiti wa uharibifu wa mazingira unaotokana na shughuli za kibinadamu ili kukabiliana na uharibifu na upoteaji wa vyanzo vya maji nchini.
Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Tanzania(TCAA) imewatoa hofu watumiaji wa usafiri wa Anga nchini humo kuhusu usalama katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba uliopo katika Manispaa ya Mji Bukoba Mkoani Kagera baada ya kutokea kwa ajali ya Ndege ya Precision Air ATR 42-500 yenye namba PW 494 iliyoanguka kwenye ziwa Victoria mita chache kutoka uwanja wa ndege wa Bukoba, ikijiandaa kutua siku ya Jumapili Novemba 06, 2022.
Hayo yamesemwa leo Novemba 9,2022 na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Kasper Mmuya katika maadhimisho ya kudhibiti magonjwa yasiyoambukiza (NCD) katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.