Asia Gamba
-

Aliyekuwa Mhasibu wa Benki atekwa na kisha kuchomwa moto nchini Tanzania
Martha ambaye alikuwa Mhasibu wa Bank of Africa (BOA) tawi la Kahama kabla ya kuachishwa kazi mwezi mmoja uliopita aliuawa kwa kuchomwa moto na watu wasiojulikana baada ya kwenda kwao Kibaha kwa ajili ya kuwasalimia…
-

Adaiwa kumuua mkewe kisha kumfikia kwenye shimo lililosakafiwa na zege
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora Richard Abwao amesema tukio hilo la mauaji liligundulika machi 7 mwaka huu majira ya saa 9.30 aliasiri katika mtaa wa mbilani kata ya Kidongo…
-

Jaji Ngwembe:Watoto wasitumike kutoa ushahidi wa uongo
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Morogoro, Paul Ngwembe amekemea tabia ya baadhi ya wazazi na walezi wanaowatumia watoto kutoa ushahidi wa uongo mahakamani.
-

Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia wafunguliwa rasmi
Hafla ya ufunguzi wa ofisi hizo imefanywa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk Stergomena Tax na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali ya Tanzania na Namibia, wakiwemo Naibu Waziri…
-

Raia wa China mbaroni akidaiwa kuiba Saruji kwenye mradi wa SGR.
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu 11 akiwemo raia wa China, Meng Zhaon Ming (29) kwa tuhuma za kuhusika na wizi wa saruji na mafuta aina ya Diesel katika mradi wa Reli ya Kisasa…
-

Rais Samia:Tuna dola za kututosha kutuhudumia miezi 4 tofauti na majirani zetu
Rais Samia ametoa kauli hiyo jana Jumatano, katika mkutano wa hadhara wa Siku ya Wanawake Duniani ulioandaliwa na chama kikuu cha upinzani kupitia baraza lake la wanawake wa CHADEMA, alisema nchi hiyo iko imara kiuchumi…
-

Rais Samia ahaidi mchakato wa Katiba kuanza hivi karibuni
Ametoa ahadi hiyo leo tarehe 8 Machi 2023, katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani, yaliyofanyika mkoani Kilimanjaro, baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kumuomba marekebisho hayo yakamilike kabla 2025.
-

BAWACHA wampokea kwa shangwe Rais Samia kwenye maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani
Maadhimisho hayo ambayo Bawacha wanafanya Kitaifa mjini Moshi katika Ukumbi wa Kuringe pia yamehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali, dini na vyama vya siasa.
-

Jaji Ngwembe ahimiza matumizi ya sayansi katika upelelezi
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Morogoro, Paul Ngwembe awasisitiza wadau wa Haki Jinai kuzingatia matumizi ya sayansi wakati wa upelelezi ili kuirahisishia Mahakama wakati wa kutafsiri sheria.
-

Ahukumiwa kifugo cha maisha jela kwa kumnajisi mtoto wake wa kumzaa
Awali, kabla ya kutolewa kwa hukumu hiyo, mtoto huyo ambaye jina lake limehifadhiwa alieleza kuwa kila alipokuwa anakataa kufanyiwa kitendo hicho ,baba yake alikuwa anamng’ata na kumpiga sehemu za mwili wake na kumtishia.







