Anayedaiwa kuiba Kishikwambi cha sensa kufikishwa mahakamani leo
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko amesema mtuhumiwa anayeshikiliwa na Jeshi la Polisi Tanzania, baada ya kupora kishikwambi kwa karani wa sensa katika kata ya Majimoto halmashauri ya Mpimbwe atafikishwa mahakamani leo Augost 26, 2022.