Asia Gamba
-

ATCL yaomba radhi wateja wake kutokana na usumbufu unaojitokeza kwa wasafiri
Taarifa iliyotolewa na shirika hilo kupitia ukurasa wao wa mtandao wa Twitter shirika hilo limesema juhudi zinaendelea kufanyika ili kurudisha huduma kama ilivyokuwa hapo awali huku likijulisha kuwa ndege moja ya Airbus ipo katika hatua…
-

Kilo 15.19 za heroin zakamatwa zikitaka kusafirishwa
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini Tanzania imekamata kilo 16.643 za dawa za kulevya zikiwamo kilo 15.19 za heroin
-

Maambukizi ya virusi vya corona yaongezeka nchini Tanzania.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mganga Mkuu wa Serikali nchini humo Profesa Tumaini Nagu, visa vipya vya maambukizi ya Uviko-19 vilivyobainika ni 442.
-

Mahakama: Uamuazi wa kumuondoa CAG Assad ulikiuka Katiba
Mahakama Kuu nchini Tanzania kanda ya Dar es salaam imesema uamuzi wa kumwondoa katika utumishi wa umma aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) nchini humo, Profesa Mussa Assad ulikiuka Katiba.
-

Sherehe za uhuru nchini Tanzania kufanyika kivingine
Akizungumza na waandishi wa habari leo Disemba 5,2022 ,Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene amesema kuwa Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania Bara mwaka…
-

NACTE yafungia matokeo ya watahiniwa 540, na kufungia shule 24 kuwa vituo vya mitihani
Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) limezuia matokeo ya watahiniwa 540 kutoka vituo sita vya mitihani ndani ya jiji la Dar es Salaam baada ya kugundulika kufanya udanganyifu.
-

Rais wa zamani wa China afariki dunia
Rais wa zamani wa China Jiang Zemin, ambaye aliongoza nchi hiyo kupitia enzi ya mabadiliko kutoka mwishoni mwa miaka ya 1980 na kuingia katika milenia mpya, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 96, shirika…
-

Wanajeshi Indonesia wafungwa jela miezi saba kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja
Wanajeshi hao, waliojiunga na jeshi mwaka jana na walikuwa na makao yake katika kisiwa kikuu cha Java nchini humo, pia waliondolewa jeshini, kulingana na uamuzi wa mahakama ya kijeshi wa tarehe 9 Novemba.
-

Hakimu adaiwa kujiua kwa kunywa sumu akiwa gesti
Akizungumzia tukio hilo jana Novemba 29, 2022 Kamanda wa Polisi mkoani Rukwa, Theopista Mallya amesema tukio hilo limetokea Novemba 27 mwaka huu akiwa amelala katika nyumba ya wageni.
-

Amzika mwanawe wa miezi miwili akiwa hai kisa utajiri
Mkazi wa Kijiji cha Mahaha wilayani Magu mkoani Mwanza, Zawadi Msagaja (20) anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani hamo kwa tuhuma za kumzika mtoto wake akiwa hai ili apate mali.







