Mlipuko wa Ebola wazuka tena nchini DRC
Kwa mujibu wa WHO uchunguzi umeonyesha kuwa kisa hicho kinahusiana na milipuko miwili iliyodumu kwa muda mrefu nchini humo ya majimbo ya Kivu Kaskazini na Ituri.
Kwa mujibu wa WHO uchunguzi umeonyesha kuwa kisa hicho kinahusiana na milipuko miwili iliyodumu kwa muda mrefu nchini humo ya majimbo ya Kivu Kaskazini na Ituri.
Akizungumza mjini Karatu, wakati Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella, amesema waliamua kuwachinjia jamii ya Wahadzabe, pundamilia wawili na nyumbu wawili, pamoja na kuwapa ndizi mbivu, ili wawepo katika makazi yao kwa ajili ya kuhesabiwa.
Benki ya Dunia imetoa msaada wa shilingi bilioni 17 kwa serikali ya Tanzania, kwa ajili ya kuimarisha huduma ya mama na mtoto.
Idara ya usalama ya FSB ya Urusi leo imesema kwamba Ukraine ndiyo iliyohusika na shambulio la bomu kwenye gari katika viunga vya mji wa Moscow na kumuua binti wa mwana itikadi kali wa Urusi Alexander Dugin.
Utekaji nyara unaofanywa na magenge ya wahalifu hutokea mara kwa mara katika nchi hiyo yenye watu wengi zaidi barani Afrika, lakini katika wiki za hivi karibuni waumini wa makanisa ya Kikristo wamezidi kulengwa.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mtoto wa Mrema, Michael Mrema Maziko hayo yatatanguliwa na ibada ya mazishi siku ya Jumatano itakayofanyika katika kanisa Katoliki Parokia ya Salasala kabla ya kusafirishwa kwenda mkoani Kilimanjaro.
Wananchi wengi wa Angola wamechoshwa na chama ambacho kimeshika madaraka tangu nchi hiyo ilipojinyakulia uhuru kutoka kwa wakoloni wa Ureno mwaka 1975.
Kulingana na wanafamilia walionukuliwa na vyombo vya habari vya Urusi, Dugin mfuasi mkubwa wa mashambulizi ya Kremlin nchini Ukraine — ndiye aliyelengwa na mlipuko huo kwani binti yake aliazima gari lake dakika za mwisho.
Mrema ambaye hivi sasa hayupo katika uso wa dunia kufuati kifo chake kilichotokea Agosti 21,2022 katika hospitali ya Taifa Muhimbili nchini Tanzania alipokuwa amelazwa akipokea matibabu atakumbukwa kwa mengi hasa katika nguvu yake ya kujenga hoja za kisiasa dhidi ya watawala wa nchi.
Taarifa kwa umma iliyotolewa leo Agosti 19, 2022 na Kitengo cha uhusiano NHIF imeeleza kuwa hatua zitachukuliwa kwa waajiri ambao hawatakamilisha michango hiyo.