NEC/ZEC: Changamoto zinzotokea wakati wa uchaguzi zinachangiwa na vyama vya siasa
Aidha, NEC na ZEC zimesema zipo tayari kupokea mabadiliko ya kisheria ambayo yatapendekezwa katika kuzifanya taasisi hizo kuepushwa na malalamiko.
Aidha, NEC na ZEC zimesema zipo tayari kupokea mabadiliko ya kisheria ambayo yatapendekezwa katika kuzifanya taasisi hizo kuepushwa na malalamiko.
Ajali hiyo ilihusisha magari madogo mawili ya abiria aina ya Toyota pro box na Toyota wish ambayo yanayofanya safari zake kati ya mji wa Bariadi na Lamadi wilayani Busega ambayo yaligongana uso kwa uso.
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema katika mikoa ya kusini mwa Tanzania kumeibuka ugonjwa wa ajabu, ambapo watu wengi wanavuja damu puani mfululizo na kuanguka.
Taarifa iliyotolewa na Hospitali hiyo leo Julai 12, 2022 na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma, Aminiel Aligaesha imeeleza kuwa hali ya Neema ilibadilika ghafla akiwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU).
Watumishi hao wamesimamishwa kupisha uchunguzi wa tuhuma za ubadhirifu wa fedha za serikali zaidi ya shilingi bilioni 10 zilizokusanywa na hazikuwasilishwa benki kama sheria inavyoelekeza.
Katika kesi hiyo Mfalme Zumaridi na wenzake nane wanakabiliwa na shtaka la kushambulia na kumsababishia majeraha Ofisa wa Jeshi la Polisi na kumzuia Ofisa Ustawi wa Jamii kutekeleza majukumu yake.
Hakukuwa na taarifa rasmi kutoka ofisi ya rais kuhusu aliko, lakini ripoti kadhaa za vyombo vya habari zilikisia kwamba alikuwa anatazamiwa kuondoka kuelekea Dubai
Waandamanaji waligundua rupia milioni 17.85 (kama dola 50,000) katika noti mpya lakini wakazikabidhi kwa polisi kufuatia shambulio la Jumamosi la Ikulu ya Rais.
Inadaiwa kuwa mtuhumiwa huyo alikuwa anatafutwa na polisi kwa muda mrefu kwa tuhuma za kukata mapanga watu maeneo tofauti.
Kwa mujibu wa BBC Edwin Kamau (23), anatuhumiwa “kutoweka” siku ya Jumapili na kumpigia simu mama yake siku chache baadaye kuomba fidia ya Ksh 70,000 (Tsh 1,380,000).