Joy Cheptoo
-

Faith Kipyegon wins 1500m, missing the World Record by only 0.3 secs!
Kenyan World and Olympic 1500m champion Faith Kipyegon arguably produced the stand-out performance of an amazing night of track and field in balmy conditions in front of a big crowd. She clocked in the second fastest ever…
-

Kim Kardashian breaks up with Pete Davidson after 9 month relationship
US reality star Kim Kardashian and comedian Pete Davidson have broken up after nine months of dating. The couple split sometime this week because their busy schedules “made it really difficult to maintain a relationship,”…
-

Wagombea urais wa Kenya watoa ombi la mwisho la kura huku kampeni zikikamilika
Naibu Rais William Ruto wa Kenya Kwanza na Raila Odinga wa Muungano wa Azimio La Umoja walitoa wito wao wa mwisho kwa Wakenya, siku ya Jumamosi, huku wapiga kura wakijiandaa kwa uchaguzi. Naibu Rais William…
-

Mwigizaji wa Marekani Anne Heche amelazwa hospitalini akiwa katika hali mbaya baada ya ajali ya gari
Mwigizaji Anne Heche alihusika katika ajali baada ya gari alilokuwa akiendesha kugonga nyumba katika kitongoji cha Mar Vista huko Los Angeles siku ya Ijumaa. Ajali hiyo ilisababisha gari na nyumba kuteketea na dereva kupata majeraha…
-

IEBC complies with court ruling to use manual register in Tuesday Election
The Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) now says it will comply with the High Court ruling and use the manual register to complement the electronic register during the general elections on Tuesday. “We shall…
-

Jackline Chepkoech ashindia Kenya dhahabu katika mbio za mita 3000 kuruka viunzi
Jackline Chepkoech mwenye umri wa miaka 18 ajishindia dhahabu katika mbio za mita 3000 za SteepleChase katika rekodi mpya ya dunia ya 9:15.68. Alishinda medali ya pili ya dhahabu kwa Kenya kwenye Michezo ya Commonwealth.…
-

Maafisa14 wa uchaguzi wasiotambulika wagunduliwa katika mfumo wa kidijitali wa uchaguzi nchini Kenya
Ukaguzi wa sajili ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) uligundua maafisa wasimamizi wa uchaguzi (returning officers) kumi na nne (14) na zaidi ya wapiga kura milioni 2 wasiotambulika. Maafisa hao walikuwa wakiendesha Mfumo…
-

Baa zote kufungwa Kisumu siku ya uchaguzi
Meneja wa Jiji la Kisumu Abala Wanga anaelekeza kufungwa kwa baa zote, hoteli na masoko, tarehe Agosti 8, kati ya saa kumi na mbili asubuhi na saa tano usiku. Maelekezo haya yataruhusu wakazi kujiandaa kwa…
-

Is Roots Party on shaky ground?
Prof George Wajackoya has differed with his running mate Justina Wamae following claims that he is supporting candidate Raila Odinga of Azimio. With only 5 days left to the general elections in Kenya, Roots Party…
-

Ferdinand Omanyala wins the 100m GOLD at the Commonwealth Games in Birmingham
Kenya’s Ferdinand Omanyala won the men’s 100m at the Commonwealth games in a time of 10.02 sec ahead of his South African rival Akani Simbine who came second in 10.13 sec. ‘Once I got a good start I knew…







