Kevin Sewe

  • Raila Atangaza Rasmi Kuanzishwa Kwa Maandamano

    Raila Atangaza Rasmi Kuanzishwa Kwa Maandamano

    Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Bwana Raila Odinga ametangaza rasmi kuanzishwa kwa maandamano kuupinga utawala wa Rais William Ruto

  • Kampeni Ya Kukomesha Kejeli Ya Hedhi Yazinduliwa Kenya

    Kampeni Ya Kukomesha Kejeli Ya Hedhi Yazinduliwa Kenya

    Wanawake wamezindua kampeni inayofahamika kama  #StainNotShame kama njia moja wapo ya kukomesha unyanyapaa dhidi ya hedhi

  • Chelsea Kumenyana Na Dortmund Katika Dimba La UEFA

    Chelsea Kumenyana Na Dortmund Katika Dimba La UEFA

    Kocha mkuu wa klabu ya Borussia Dortmund Edin Terzic amepuuzilia mbali uwezekano wa nyota Jude Bellingham ya kuondoka kwenye kikosi chake wakati klabu hiyo linajiandaa kumenyana na Chelsea hii leo kwenye kinyanganyiro cha kombe la…

  • Matiang’i Adinda Kuandikisha Taarifa Kwa DCI

    Matiang’i Adinda Kuandikisha Taarifa Kwa DCI

    Kulikuwa na hali ya mshike mshike katika afisi za DCI baada ya aliyekuwa waziri wa usalama Dkt Fred Matiangi Kudinda kuandikisha Taarifa kwa idara hiyo ya Upelelezi. Badala yake Matiangi aliamua kusalia kimya na kutangaza…