DR Congo yazindua mnada wenye utata wa uchimbaji wa mafuta na gesi
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo siku ya Alhamisi ilizindua mnada wenye utata wa vitalu 30 vya mafuta na gesi
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo siku ya Alhamisi ilizindua mnada wenye utata wa vitalu 30 vya mafuta na gesi
Watu wanaoshukiwa kuwa waasi wamewaua raia kumi na wawili katika mashambulizi ya hivi majuzi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo,
Maria Helena Taipo, 60, mwanachama wa chama tawala cha FRELIMO ambaye aliongoza wizara ya Leba kutoka 2005 hadi 2014, alishtakiwa kwa ubadhirifu wa metical milioni 113 (dola milioni 1.7) za serikali
Mwenyekiti wa jumuiya ya kanda ya Afrika Magharibi alisema kwamba Guinea itapunguza kipindi cha mpito cha utawala wa kiraia kutoka miaka mitatu hadi miwili.
Kampuni ya Italia ya Eni imeripoti ugunduzi mpya wa mafuta na gesi asilia nchini Ivory Coast
Mkurugenzi Mtendaji wa sekretarieti ya urais ya Azimio, Raphael Tuju ameibuka na ufichuzi wa kushtua kwamba DP Ruto alilipwa mabilioni ili kuungana na Rais Kenyatta katika uchaguzi wa 2013.
Zaidi ya wanariadha 5,000 watapata nafasi ya kushiriki katika michezo ya Jumuiya ya Madola katika jiji la Birmingham nchini Uingereza kuanzia Ijumaa.
Benin imewaachia huru wafuasi 30 wa upinzani waliokamatwa wakati wa uchaguzi wa 2021 ambapo Rais Patrice Talon alishinda muhula wa pili
Wanasiasa wamekuwa wakitoa kiasi kidogo cha pesa taslimu au vitu vingine kwa watu wanaojitokeza kwenye mikutano yao ya kampeni kabla ya kura ya Agosti 9
Almasi hiyo adimu imepewa jina ‘Lulo Rose’ iligunduliwa katika mgodi wa Lulo nchini Angola na Kampuni ya Lucapa Diamond.