DR Congo: Mvutano waongezeka kabla ya uchaguzi wa rais
Uchaguzi wa 2018 ulikuwa na makabidhiano ya kwanza ya amani ya mamlaka tangu nchi hiyo ipate uhuru kutoka kwa Ubelgiji mwaka 1960.
Uchaguzi wa 2018 ulikuwa na makabidhiano ya kwanza ya amani ya mamlaka tangu nchi hiyo ipate uhuru kutoka kwa Ubelgiji mwaka 1960.
Kulingana na UN mapigano ya wanajihadi yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 40,000 na wengine milioni mbili kuyahama makazi yao kaskazini-mashariki tangu 2009.
Hadi hivi majuzi, wengi wao wanasema walikuwa wakitoza dola 7 kwa kikao kifupi kinachochukua kati ya dakika 15-20 na dola 40 kwa usiku mzima.
Mvua kubwa iliyonyesha mwishoni mwa mwezi Aprili iliua watu 435 katika mafuriko na maporomoko ya ardhi.
Rais wa Senegal Macky Sall alisema atasafiri hadi Urusi na Ukraine hivi karibuni kwa niaba ya Umoja wa Afrika,kama rais wa muungano huo.
Mawakili wa serikali katika Jamhuri ya Congo wameamua kuacha kuiwakilisha serikali mahakamani baada ya kutopokea malipo kwa miaka saba
Katika taarifa iliyotolewa Ijumaa, Mei 20, bodi hiyo ilibainisha kuwa umma ulikuwa ukitumia kupita kiasi Dawa ya Diclofenac, Steroidal Anti-Inflammatory (NSAID) kwa ajili ya kudhibiti maumivu.
Mohamud, aliwahi kuwa rais kati ya 2012 na 2017, ameahidi kulibadilisha taifa hilo lililokumbwa na machafuko kuwa nchi ya amani
makubaliano yanayoiwezesha Uingereza kutuma wahamiaji na wanaotafuta hifadhi Rwanda yamevutia ukosoaji mkali kutoka kwa makundi ya kutetea haki za binadamu, upinzani katika nchi zote mbili na hata Umoja wa Mataifa.
Kulingana na mamlaka ya afya, kati ya wasichana 7,000 waliochanjwa nchini Equatorial Guinea wakati wa Wiki ya Chanjo kwa Afrika ni asilimia 1.4 tu wameathirika.