Rais Uhuru Kenyatta amemsimamisha kazi Jaji Said Juma Chitembwe.
Kuondolewa kwa jaji kunaweza tu kuanzishwa na JSC ikifanya kazi kwa hoja yake yenyewe au kwa ombi la mtu yeyote kwa tume.
Kuondolewa kwa jaji kunaweza tu kuanzishwa na JSC ikifanya kazi kwa hoja yake yenyewe au kwa ombi la mtu yeyote kwa tume.
Nchi hiyo yenye watu milioni 11 imejitahidi kudumisha amani katika miaka ya hivi karibuni tangu mikataba ya amani ya 2018.
Uganda ilijiunga na vikosi vya Congo mnamo Novemba 30 katika vita dhidi ya Allied Democratic Forces (ADF), inayotuhumiwa kwa mauaji mashariki mwa DR Congo na milipuko ya mabomu nchini Uganda.
Martha Karua huenda akawa naibu rais wa kwanza mwanamke katika historia ya Kenya, iwapo Muungano wa, Azimio la Umoja One Kenya, utashinda uchaguzi wa Agosti 9.
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka imetangaza kwenye gazeti la serikali majina 38 ya wagombea urais wanaotaka kuwania kiti cha urais katika uchaguzi wa Agosti kama wagombea binafsi.
Kiungo huyo wa kimataifa wa Senegal alikosa mchezo wa Ligue 1 dhidi ya Montpellier Jumamosi ambapo wachezaji walipaswa kuvaa jezi za upinde wa mvua kuunga mkono harakati za LGBTQ.
Sauti Sol ilikashifu muungano wa Azimio One Kenya Party inayoongozwa na Raila Odinga kwa kutumia wimbo wao “Extravaganza,” kwenye kampeini
Kufikia mwisho wa Februari 2022, Wakenya milioni 3.1 kati ya milioni 47 walikuwa wanahitaji msaada wa chakula.
Kaulimbiu ya mkutano huo mwaka huu ni, “Wajibu wa miji ya barani Afrika katika utekelezaji wa Ajenda ya Umoja wa Mataifa ya 2030 na Ajenda ya 2063 ya Umoja wa Afrika.
Maandamano yalifanyika siku chache baada ya mwanamke mwingine kushutumiwa kwa kukufuru na kuuawa na kundi la watu katika jimbo la Sokoto.