Waziri wa zamani wa Morocco ahukumiwa kifungo baada ya video yake ya ‘uzinzi’ kusambaa mitandaoni
video inadaiwa kumuonyesha Zaine akiwa katika hali tata na mwanamke aliyeolewa kwenye chumba cha hoteli.
video inadaiwa kumuonyesha Zaine akiwa katika hali tata na mwanamke aliyeolewa kwenye chumba cha hoteli.
Madagascar hukabiliwa na dhoruba na vimbunga vingi kati ya Novemba na Aprili kila mwaka.
Baraza la juu la Urusi, lilimpa Putin idhini kwa kauli moja ya kupeleka ‘walinda amani’ katika mikoa miwili iliyojitenga ya Donetsk na Lugansk
Niger Imekabiliana na makundi kama vile Islamic State in the Greater Sahara (ISGS) upande wa magharibi, pamoja na Boko Haram na Islamic State West Africa Province (ISWAP) kusini mashariki
Uwanja huo umepewa jina la rais wa zamani Abdoulaye Wade, utakuwa ndio uwanja pekee nchini Senegal ulioidhinishwa kwa soka ya kimataifa.
Wakili Amollo alisema kuwa mteja wake ni mgonjwa na amelazwa katika Hospitali ya Nairobi ambako amekuwa akipokea matibabu
Pele mwenye umri wa miaka 81 alilazwa katika hospitali ya Albert Einstein mnamo Feb 13
Mlipuko ulitokea katika hifadhi ya baruti
kurasa za wavuti za serikali zimebadilishwa na kuwekwa picha zinazohusiana na wanajihadi.
Mfanyabiashara Stanley Livondo, amesisitiza madai ya kuwepo kwa njama ya mauaji dhidi ya Rais Uhuru Kenyatta.