Amnesty: Waasi wa Tigray waliwabaka wanawake na wasichana katika vita
“Mmoja wao alinibaka uani na mwingine alimbaka mama yangu ndani ya nyumba,” mwathiriwa
“Mmoja wao alinibaka uani na mwingine alimbaka mama yangu ndani ya nyumba,” mwathiriwa
Mnamo 2007, Mahakama ya Kikatiba iliamua kwamba uzinzi haikuwa tena kosa la jinai nchini Uganda baada ya kuifuta kutoka kwa Kanuni ya Adhabu.
Si mara ya kwanza kwa Raila Odiga kutumia nyimbo kupamba kampeni zake za urais.
Makubaliano ya kisiasa yamekuwa ya kawaida miongoni mwa wanasiasa katika kipindi chote cha baada ya ukoloni.
Wakati wa utawala wa Mugabe, Zimbabwe ilijivunia kuwa miongoni mwa nchi zenye viwango vya juu vya elimu barani Afrika.
Kitabu hicho cha sayansi ya asili kinazungumzia masuala kama vile kupiga punyeto na mwelekeo wa kijinsia.
Umoja wa Ulaya na Amerika ziliweka vikwazo kutokana na ghasia zilizogharimu maisha ya Warundi 1,200 na kupelekea 400,000 kuikimbia nchi hiyo
Kulingana na Wajackoyah, uuzaji wa bangi katika masoko ya nje kutasaidia kupunguza madeni ya kitaifa na hivyo kupunguza mzigo wa deni na nchi ya China
Mamlaka za afya zimeelezea wasiwasi kwamba tarehe 14 Feb inaweza kuzidisha idadi ya maambukizi ya UVIKO 19
Idadi ya maambukizi mapya ya kila siku duniani ilipungua kwa wiki ya pili mfululizo, ikipungua kwa 17%