Uuzaji wa tikiti za Kombe la Dunia Qatar 2022 wazinduliwa
Dimba la Kombe la Dunia litaanza Novemba 21 hadi Desemba 18.
Dimba la Kombe la Dunia litaanza Novemba 21 hadi Desemba 18.
DJ Clef alipatikana akiwa amefariki, huku viungo vyake na sehemu zake za siri zikiwa hazipo.
Salima alikuwa afisa wa nne wakati Guinea ilipoishinda Malawi mnamo Januari 10 mjini Bafoussam.
Mabingwa mara nne Ghana waliondolewa kwenye AFCON baada ya kuchapwa 3-2 na Wacomoro katika Kundi C Jumanne mjini Garoua.
Kufikia sasa nchi wanachama 36 wamechanja chini ya 10% ya watu wao na wanachama 88 wamechanja chini ya 40%
Kulingana na Caminando Fronteras, zaidi ya wahamiaji 4,000 waliuawa au kutoweka mwaka jana wakijaribu kuelekea Uhispania,
Mpango huo wa BBI au Building Bridges Initiative (BBI) unalenga kubadili mfumo wa uchaguzi ambao umelaumiwa kwa ghasia za mara kwa mara
Vifo hivyo saba vinafikisha 71 idadi ya waandamanaji waliouawa tangu jeshi lilipochukua madaraka Oktoba 25, likiongozwa na Jenerali Abdel Fattah al-Burhan.
Barani Ulaya ni nchi za Ubelgiji, Uholanzi, Luxemburg na Uhispania pekee ambazo zimehalalisha kujitoa uhai kwa kusaidiwa na madaktari.
Mashambulizi ya Jumapili, ambayo Al-Shabaab walidai kuhusika nayo, yalikuja wiki moja baada ya viongozi wa Somalia kukubaliana kumaliza uchaguzi wa bunge ifikapo Februari 25