Rais wa zamani wa Mali, Ibrahim Boubacar Keita aaga dunia
Bw. Keita, maarufu kama IBK, alikuwa rais wa Mali kutoka 2013 hadi 2020.
Bw. Keita, maarufu kama IBK, alikuwa rais wa Mali kutoka 2013 hadi 2020.
Maandamano yakupinga vikwazo vikali vya kikanda yalitarajiwa kuanza Ijumaa huku shinikizo la kimataifa likiongezeka kuhusu kucheleweshwa kwa uchaguzi.
Lee, mwanasheria wa haki za binadamu aliyegeuka kuwa mwanasiasa, alisema watu wenye matatizo ya kupoteza nywele wamebaguliwa kwa muda mrefu.
Mnamo tarehe 30 Novemba, wanajeshi wa Uganda walijiunga na wanajeshi wa Congo katika msako mkali dhidi ya ADF katika eneo la Beni.
Nchi hiyo ya Afrika Magharibi ina historia ndefu ya mapinduzi na inapambana na waasi wa kijihadi waliotokea nchi jirani ya Mali mwaka 2015.
Baadhi ya wakosoaji wanamtuhumu kwa kukiuka maadili ya kihafidhina ya jamii ya Kiislamu huku wengine wakisimama kidete naye.
Kulikuwa na matukio ya fujo kwenye michuano ya AFCON Mali ilipoifunga Tunisia katika mchezo uliokumbwa na mabishano
Unyanyasaji wa kijinsia umeenea sana Morocco lakini wanawake wanasitasita kuripoti kwa kuhofia kulipizwa kisasi au kudhuru sifa ya familia zao.
Nigeria ilisitisha shughuli za Twitter mwezi Juni baada ya Twitter kufuta ujumbe wa Rais Buhari