Author: Maureen Medza
Ugonjwa wa monkeypox walipuka upya DR Congo
Visa 191 vya ugonjwa wa monkeypox vimeripotiwa ikiwemo vifo 24 vilivyoripotiwa tangu mwezi Septemba 27, 2021,
Ngamia 40 wapigwa marufuku kushiriki mashindano ya urembo kwa udanganyifu
Tamasha hilo huwakaribisha wafugaji wenye ngamia warembo kushindana kwa zawadi ya kiasi cha £50m.
Nigeria: Msongamano na mashambulizi katika magereza
Nigeria inashikilia nafasi ya 49 katika orodha ya nchi 206 zenye msongamano mkubwa wa wafungwa kwenye magereza yao
Gavana wa kaunti ya Machakos, Kenya ndiye gavana bora zaidi barani Afrika
Tuzo ya Africa Illustrious, ilianzishwa mwaka wa 2020 na husimamiwa na My Media Africa.
Rais Samia Suluhu, Oprah, Rihanna kwenye orodha ya Forbes ya wanawake wenye ushawishi mkubwa
Orodha hiyo ya Forbes inayojumuisha wanasiasa, watu mashuhuri na wanawake wafanyabiashara.
Wafungwa 38 wafariki na wengine 69 wajeruhiwa kwenye mkasa wa moto gerezani Burundi
“Tulianza kupiga kelele kwamba tutaungua, tulipoona moto unazidi kuwaka, lakini polisi walikataa kufungua milango,” – Mfungwa
UAE yatangaza wikendi ya Jumamosi na Jumapili na siku nne na nusu za kazi.
Milki za Kiarabu imetangaza Jumanne kwamba wiki ya kazi itakuwa siku nne na nusu, ikiwa ni Ijumaa alasiri, Jumamosi, na Jumapili kuunda wikendi mpya.
Afisa wa Polisi awaua watu sita ikiwemo mkewe
Afisa wa polisi nchini Kenya amemuua kwa kumpiga risasi mke wake na watu wengine watano na kisha kujiua mjini Kabete.
Fahamu zaidi kuhusu kirusi kipya cha UVIKO 19- Omicron
visa vya kirusi cha Omicron sasa vipo katika zaidi ya nchi 20 na katika mabara yote