Rais wa Korea Kusini Moon Jae-in, apendekeza marufuku ya ulaji wa nyama ya mbwa
Nyama ya mbwa imekuwa kati ya vyakula vinavyopendwa sana nchini Korea kusini ikiaminika kuwa mbwa milioni moja huliwa kila mwaka.
Nyama ya mbwa imekuwa kati ya vyakula vinavyopendwa sana nchini Korea kusini ikiaminika kuwa mbwa milioni moja huliwa kila mwaka.
Taliban yapiga marufuku vinyozi kuwanyoa wanaume vichwa na ndevu, wakisema kunyoa kunakwenda kinyume na maadili ya dini ya kiislamu.
Theoneste Bagosora, Kanali wa zamani wa jeshi la Rwanda aliyefahamika kwa kuchangia na kupanga mauaji ya kimbari ya 1994 ameaga dunia.
Mwaka wa 2004 Wangari Maathai alituzwa Tuzo ya Amani ya Nobel kwa mchango wake katika maendeleo endelevu, demokrasia na amani.Maathai alikuwa mwanamke wa kwanza mwafrika kushinda tuzo hiyo
Burna Boy alishinda tuzo ya “Best World Music Album” mwaka wa 2021 katika tuzo za 63 Annual Grammy Awards
Mapigano yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 3,306 wengi wao ikiwa ni raia, na kuwafurusha wengine 800,000 kutoka majumbani mwao.
Mahamat Idriss Deby, kiongozi wa jeshi la serikali ya Chad, ametaja wabunge 93 wa bunge la mpito miezi mitano baada ya kujitangaza kuwa kiongozi wa nchi.
Mwaka wa 2020, India ilirekodi visa 28,046 vya ubakaji ikiwa ni takriban visa 77 vya ubakaji kila siku.
Rais wa zamani wa DR Congo afunguliwa mashtaka ICC
Mwaka wa 2021 pekee wakenya 41 wamepoteza maisha yao na wengine 1,025 wakiwa katika hali mbaya,28 kati ya 41 wakiwa wafanyakazi wa nyumbani.