Kuosha vyoo vya wanawake ndio kazi pekee wanawake wa Afghan wanaruhusiwa kufanya.
Kazi ambazo wanawake Afghanistan wanaruhusiwa kufanya pekee ni zile ambazo wanaume hawawezi kufanya, kama kusafisha vyoo vya wanawake. Wafanyakazi wanawake…
Kazi ambazo wanawake Afghanistan wanaruhusiwa kufanya pekee ni zile ambazo wanaume hawawezi kufanya, kama kusafisha vyoo vya wanawake. Wafanyakazi wanawake…
“Nitawania kiti cha urais 2025” Rais Samia Suluhu Hassan
Nyota wa filamu ya “Hotel Rwanda” Paul Rusesabagina amepatikana na hatia ya ugaidi.
Kenya imejishindia tiketi ya kushiriki mashindano ya FIVB World Championship baada ya kufika fainali ya mashindano ya voliboli ya wanawake ya bara Afrika mjini Kigali, Rwanda.
“Hakuwa na kinyongo na mtu yeyote, angestahili kuwa na hasira na dunia, lakini hakuwa na hasira na mtu yeyote. Aliomba na akawasamehe wale waliomfunga kimakosa” David, kake Damon alisema.
Huzuni yatanda Nakuru,baada ya daktari kuwaua watoto wake wawili kwa kuwadunga sumu!
Visa 1.8 milioni vya UVIKO 19 vyathibitishwa barani Afrika
Rais wa Ivory coast, Alassane Ouattara,na Rais wa Ghana Nana Akufo-Addo walimtembelea kiongozi wa mapinduzi na junta Mamady Doumbouya,mjini Conakry…
FIFA imeendeleza msukumo wake wa kutaka kuandaa Kombe la Dunia la wanaume kila baada ya miaka miwili kwa kupata uungwaji…
Rais wa zamani wa Algeria Abdelaziz Bouteflika, aliyepigania uhuru wa taifa lake kutoka kwa ukoloni wa Ufaransa ameaga dunia akiwa…