Wadh Kassim
-

Kamanda wa kundi la ADF akamatwa na Jeshi la Uganda
Watu tisa wakiwemo watoto waliokolewa katika operesheni ya kumsaka kamanda huyo. Watu hao walipatikana mkoani Ituri Mashariki mwa DRC. Bidhaa za kutengenezea mabomu pia zilipatikana huko katika harakati ya kufanya msako huo.
-

Watu milioni 7 wakabiliwa na uhaba wa chakula Sudan Kusini
Jumla ya watu 670,000, ni raia wa taifa jirani la Sudan, ambao walikimbilia taifa la Sudan Kusini kutokana na vita vinavyoendelea katika taifa hilo. Asilimia 80 kati yao ni raia wa Sudan Kusini, ambao walikuwa…
-

Watu watatu wahofiwa kukwama kwenye vifusi vya maporomoko, eneo la Kimende nchini Kenya
Maporomoko hayo yalitokea Jumanne usiku wakati baadhi ya waathiriwa walikuwa wakielekea nyumbani baada ya shughuli za siku walipofunikwa na vifusi ambayo yanasemekana kusababishwa na mvua kubwa ya mafuriko yaliyonyesha katika eneo hilo.
-

Makabiliano baina ya jeshi na RSF yazuka upya Sudan
Watu 27 wameripotiwa kufariki dunia kutokana na mapambano mapya kati ya jeshi la Sudan na wanamgambo wa RSF mapema wiki hii katika mji wa El-Fasher, Darfu
-

Shule zafunguliwa nchini Kenya kwa Muhula wa Pili
Taarifa kutoka wizara ya elimu, imesema kuwa asilimia 95 ya shule ziko tayari kuanza tena muhula wa pili, huku hali katika baadhi ya taasisi za masomo katika kaunti saba zikiwa bado zinachunguzwa ili kuhakikisha unaafikia…
-

Bingwa wa dunia Mary Moraa ashinda taji la Diamond League katika mbio za mita 800,Doha
Katika nafasi ya pili, bingwa huyo aliweza kufuatiwa kwa karibu na Muingereza Jemma Reekie (1:58.42), Benin Noelie Yarigo wa uingereza (1:58.70) katika nafasi ya tatu, Muethiopia Habitam Alemu (1:59.08) katika nafasi ya nne na bingwa…
-

Idriss Deby Itno ashinda uchaguzi wa urais Chad
Dedy Itno amejizolea asilimia 61 za kura huku Succes Masra akijizolea asilimia 18.5, matokeo ambayo upinzani ukiongozwa na mgombea mwenza mkuu, Succes Masra wametofautiana na matokeo hayo.







