Skip to content

Subscribe to access premium content

Subscribe
  • YouTube
  • X
  • Instagram
  • Facebook
  • Home
  • Africa
  • East Africa
  • International
  • Lifestyle & Health
  • Gender
  • Business & Finance
  • Entertainment
  • Science & Tech
  • Sports
  • Politics
  • Mgombea urais wa Nigeria Peter Obi kupinga uchaguzi mahakamani

    Mgombea urais wa Nigeria Peter Obi kupinga uchaguzi mahakamani

    Joy Cheptoo
    March 2, 2023

    Uchaguzi wa Nigeria mara nyingi umekuwa na madai ya udanganyifu na ghasia

  • Mwanafunzi wa darasa la sita ajinyonga baada ya kufokewa na wazazi wake

    Mwanafunzi wa darasa la sita ajinyonga baada ya kufokewa na wazazi wake

    Asia Gamba
    March 2, 2023

    Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya, Benjamin Kuzaga  amewaambia waandishi wa habari leo kuwa mwanafunzi huyo alifikia hatua ya kujitoa uhai baada ya kufokewa na wazazi wake.

  • Rais Samia:Nafahamu madhara ya kubadilisha viongozi mara kwa mara.

    Rais Samia:Nafahamu madhara ya kubadilisha viongozi mara kwa mara.

    Asia Gamba
    March 2, 2023

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, mara nyingi hulazimika kuwabadili viongozi mara kwa mara ili kuepusha madhara zaidi kwa Serikali na wananchi ambayo yangeweza kutokea.

  • Godbless Lema wa Chadema arejea nyumbani baada ya kukaa uhamishoni kwa miaka mingi

    Godbless Lema wa Chadema arejea nyumbani baada ya kukaa uhamishoni kwa miaka mingi

    Joy Cheptoo
    March 2, 2023

    Lema alikimbia Tanzania Novemba 2020, akiripoti vitisho vya maisha yake kufuatia uchaguzi uliokuwa na utata

  • Uganda yaweka mipango ya sheria mpya dhidi ya mashoga

    Uganda yaweka mipango ya sheria mpya dhidi ya mashoga

    Joy Cheptoo
    February 28, 2023

    Serikali ya Uganda mwezi uliopita iliunda kamati kuchunguza madai ya “kukuzwa” kwa haki za mashoga

  • Tanzania na Benki ya Dunia yasaini mkataba wa mikopo nafuu na misaada ya shilingi trilioni 1.3

    Tanzania na Benki ya Dunia yasaini mkataba wa mikopo nafuu na misaada ya shilingi trilioni 1.3

    Asia Gamba
    February 28, 2023

    Waliotia Saini mikataba hiyo Jijini Dar es Salaam, ni Waziri wa Fedha na Mpango, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bw. Nathan Belete.

  • Kanisa Katoliki Geita lafungwa kwa muda

    Kanisa Katoliki Geita lafungwa kwa muda

    Asia Gamba
    February 28, 2023

    Uamuzi huo umetolewa leo na kupitia waraka wa Askofu wa Jimbo Katoliki la Geita, Flavian Kassala, ikiwa ni siku mbili tangu kutokea kwa uvamizi na uharibifu ndani ya kanisa hilo, lililopo Mtaa wa Jimboni, Kata…

  • Tume Ya Uchaguzi Na Mipaka Nchini Kenya (IEBC) Yaibua Vita Vya Kisiasa Kati Ya Rais Ruto Na Raila

    Tume Ya Uchaguzi Na Mipaka Nchini Kenya (IEBC) Yaibua Vita Vya Kisiasa Kati Ya Rais Ruto Na Raila

    Davis Mberia
    February 28, 2023

    Rais William Ruto ameteua jopo la wanachama saba ambalo litasimamia mchakato wa kuwachagua makamishana na mwenyekiti wa IEBC.

  • Zoezi La Kuhesabu Kura Katika Uchaguzi Mkuu Nigeria Laendelea

    Zoezi La Kuhesabu Kura Katika Uchaguzi Mkuu Nigeria Laendelea

    Davis Mberia
    February 28, 2023

    Wagombea 18 wanawania kiti cha Urais kumrithi rais anayeondoka Muhammadu Buhari, ila watatu pekee ndio wameonekana kuwa mibabe

  • Aliyegongwa na basi la mwendokasi atambuliwa na ndugu zake.

    Aliyegongwa na basi la mwendokasi atambuliwa na ndugu zake.

    Asia Gamba
    February 28, 2023

    Majeruhi huyo ayetambulika kwa jina la ‘Osam Milanzi’ na kutajwa kuwa mkazi wa Manzese Midizini, ametambuliwa siku moja baada ya kuanza kuongea na kujitaja kwa jina la Osam mkazi wa Manzese.

Previous Page
1 … 449 450 451 452 453 … 729
Next Page
Latest News
  • November 25, 2026

    .

    Wadh Kassim

    Survivors Grieve After Nigeria’s Latest Deadly Communal Clashes

  • November 25, 2026

    .

    Kevin Sewe

    Kenyan starvation cult leader convicted of child assault

  • November 25, 2026

    .

    Victor Kayanda

    Ruto awarai wawekezaji wa Ujerumani kufadhili miradi ya miundombinu Kenya

  • November 25, 2026

    .

    Victor Kayanda

    Upinzani Kenya watoa masharti mapya kwa IEBC kabla ya Uchaguzi Mkuu

  • November 25, 2026

    .

    Wadh Kassim

    IEBC Orders 2027 Presidential Aspirants In Public Office To Quit Six Months Before Poll

Search
Featured
  • Kenyan Court Demands Answers From DCI Boss Over Missing Tanzanian Activist

    November 23, 2026
  • Uganda lawyers demand army chief present alleged abductees

    November 20, 2026
  • Amnesty Slams Tundu Lissu’s Incitement Conviction As A ‘Travesty Of Justice’

    November 10, 2026
Useful Links
  • Privacy Policy
  • Terms and Conditions
  • Contact Us
Topics
  • Home
  • Africa
  • East Africa
  • International
  • Lifestyle & Health
  • Gender
  • Business & Finance
  • Entertainment
  • Science & Tech
  • Sports
  • Politics
  • YouTube
  • Instagram
  • X
  • Facebook
  • LinkedIn

Mwanzo TV | Copyright © 2026 | All Rights Reserved

We use cookies to ensure that we give you the best experience on our website. If you continue to use this site we will assume that you are happy with it. Privacy policy