Skip to content

Subscribe to access premium content

Subscribe
  • YouTube
  • X
  • Instagram
  • Facebook
  • Home
  • Africa
  • East Africa
  • International
  • Lifestyle & Health
  • Gender
  • Business & Finance
  • Entertainment
  • Science & Tech
  • Sports
  • Politics
  • Rais Ruto Na Raila Wajibizana Kisa Eti Kufunguliwa Kwa Sava Za Tume Ya Uchaguzi.

    Rais Ruto Na Raila Wajibizana Kisa Eti Kufunguliwa Kwa Sava Za Tume Ya Uchaguzi.

    Davis Mberia
    February 24, 2023

    Raila amezidi kusisitiza sava za tume ya uchaguzi nchini Kenya (IEBC) zifunguliwe,Ila Rais Ruto naye amemjibu akisema kuwa sava zipo wazi kwa kila mmoja kuangalia matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2022.

  • Kenya yatoa leseni kwa Taifa Gas, inayomilikiwa na bilionea Mtanzania Rostam Aziz

    Kenya yatoa leseni kwa Taifa Gas, inayomilikiwa na bilionea Mtanzania Rostam Aziz

    Joy Cheptoo
    February 24, 2023

    Taifa Gas ndiyo kampuni kubwa zaidi ya usambazaji wa LPG nchini Tanzania

  • Mgombea wa useneta wa Nigeria auawa kwa kupigwa risasi na mwili wake kuchomwa moto

    Mgombea wa useneta wa Nigeria auawa kwa kupigwa risasi na mwili wake kuchomwa moto

    Mwanzo Editor
    February 23, 2023

    Wasaidizi wake waliokuwa pamoja naye pia waliuawa kwa kupigwa risasi kabla ya gari lao kuchomwa moto huku miili ikiwa ndani, vyombo vya habari vya eneo hilo vinaripoti.

  • Burkina Faso kumzika upya Sankara

    Burkina Faso kumzika upya Sankara

    Mwanzo Editor
    February 23, 2023

    Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso inajiandaa kuzika masalia ya mwili wa rais wa zamani wa nchi hiyo Thomas Sankara hii leo Alhamisi, huu familia yake ikikataa kushiriki mazishi hayo.

  • Museveni afanya mazungumzo na Rais wa Ukraine, Zelenskyy

    Museveni afanya mazungumzo na Rais wa Ukraine, Zelenskyy

    Joy Cheptoo
    February 23, 2023

    Museveni alisema Uganda ilijizuia na kuchukua msimamo wa kutoegemea upande wowote wakati suala la Urusi na Ukraine lilipokuja kujadiliwa katika Umoja wa Mataifa.

  • Raila Odinga Astaafu Kama Mwakilishi Mkuu Wa Umoja Wa Afrika Kwa Maendeleo Ya Miundombinu

    Raila Odinga Astaafu Kama Mwakilishi Mkuu Wa Umoja Wa Afrika Kwa Maendeleo Ya Miundombinu

    Davis Mberia
    February 23, 2023

    Taarifa ya kustaafu kwake Odinga ilitangazwa na mwenyekiti wa tume ya Umoja wa Afrika Moussa Faki Mahamat.

  • Rais William Ruto Amthubutu Raila Kuandaa Maandamano

    Rais William Ruto Amthubutu Raila Kuandaa Maandamano

    Davis Mberia
    February 23, 2023

    Ruto alikuwa anamjibu odinga ambaye aliipa serikali ya Rais Ruto makataa ya siku 14 kupunguza gharama ya maisha la sivyo ataandaa maandamano kote nchini Kenya.

  • Kenya kuchunguza unyanyasaji wa kingono kwa wafanyakazi katika mashamba ya chai kufuatia makala ya BBC

    Kenya kuchunguza unyanyasaji wa kingono kwa wafanyakazi katika mashamba ya chai kufuatia makala ya BBC

    Joy Cheptoo
    February 23, 2023

    Zaidi ya wanawake 70 wanaofanya kazi katika mashamba ya chai walifichua kwamba walikuwa wamenyanyaswa kingono na wasimamizi wao kwa miaka mingi

  • Raila Atoa Makataa Ya Siku 14 Kwa Serikali Ya Rais Ruto Kupunguza Gharama Ya Maisha nchini Kenya.

    Raila Atoa Makataa Ya Siku 14 Kwa Serikali Ya Rais Ruto Kupunguza Gharama Ya Maisha nchini Kenya.

    Davis Mberia
    February 22, 2023

    Odinga ambaye siku ya Jumatano Februari 22 aliandaa mkutano wa maombi katika bustani ya Jeevanjee jijini Nairobi alisema kuwa wakenya wamechoka na serikali ya Kenya Kwanza kutotimiza ahadi walizotoa katika kipindi cha kampeni.

  • Watu 10 wauawa katika shambulio Somalia

    Watu 10 wauawa katika shambulio Somalia

    Mwanzo Editor
    February 22, 2023

    Mamlaka inasema jengo wamemaliza hali ya kuzingirwa kwa jengo lililokuwa likishambuliwa na wapiganaji wa kundi la kiislamu la al-Shabab.

Previous Page
1 … 451 452 453 454 455 … 729
Next Page
Latest News
  • November 25, 2026

    .

    Wadh Kassim

    Survivors Grieve After Nigeria’s Latest Deadly Communal Clashes

  • November 25, 2026

    .

    Kevin Sewe

    Kenyan starvation cult leader convicted of child assault

  • November 25, 2026

    .

    Victor Kayanda

    Ruto awarai wawekezaji wa Ujerumani kufadhili miradi ya miundombinu Kenya

  • November 25, 2026

    .

    Victor Kayanda

    Upinzani Kenya watoa masharti mapya kwa IEBC kabla ya Uchaguzi Mkuu

  • November 25, 2026

    .

    Wadh Kassim

    IEBC Orders 2027 Presidential Aspirants In Public Office To Quit Six Months Before Poll

Search
Featured
  • Kenyan Court Demands Answers From DCI Boss Over Missing Tanzanian Activist

    November 23, 2026
  • Uganda lawyers demand army chief present alleged abductees

    November 20, 2026
  • Amnesty Slams Tundu Lissu’s Incitement Conviction As A ‘Travesty Of Justice’

    November 10, 2026
Useful Links
  • Privacy Policy
  • Terms and Conditions
  • Contact Us
Topics
  • Home
  • Africa
  • East Africa
  • International
  • Lifestyle & Health
  • Gender
  • Business & Finance
  • Entertainment
  • Science & Tech
  • Sports
  • Politics
  • YouTube
  • Instagram
  • X
  • Facebook
  • LinkedIn

Mwanzo TV | Copyright © 2026 | All Rights Reserved

We use cookies to ensure that we give you the best experience on our website. If you continue to use this site we will assume that you are happy with it. Privacy policy