Skip to content

Subscribe to access premium content

Subscribe
  • YouTube
  • X
  • Instagram
  • Facebook
  • Home
  • Africa
  • East Africa
  • International
  • Lifestyle & Health
  • Gender
  • Business & Finance
  • Entertainment
  • Science & Tech
  • Sports
  • Politics
  • Rais Ruto akutana na viongozi wa Jubilee kabla ya mkutano wa Azimio katika uwanja wa Kamukunji

    Rais Ruto akutana na viongozi wa Jubilee kabla ya mkutano wa Azimio katika uwanja wa Kamukunji

    Victor Kayanda
    January 23, 2023

    Hata hivyo, katibu mkuu wa Jubilee Jeremiah Kioni hakuwepo katika mkutano huo.

  • Viongozi wa Serikali wadaiwa kuomba rushwa kupitisha posho za walimu

    Viongozi wa Serikali wadaiwa kuomba rushwa kupitisha posho za walimu

    Asia Gamba
    January 20, 2023

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Angellah Kairuki amekemea vikali tabia ya baadhi viongozi kuomba rushwa ili kupitisha posho za madaraka kwa Walimu Wakuu.

  • Ufaransa inapanga kuongeza umri wa kustaafu hadi 64 ifikapo 2030

    Ufaransa inapanga kuongeza umri wa kustaafu hadi 64 ifikapo 2030

    Joy Cheptoo
    January 20, 2023

    Waziri Mkuu Elisabeth Borne anasema mabadiliko hayo ni muhimu ili kuzuia upungufu mkubwa katika mfumo huo katika siku zijazo

  • Neema kwa wakulima wa chai wilaya ya Kilolo yatangazwa.

    Neema kwa wakulima wa chai wilaya ya Kilolo yatangazwa.

    Asia Gamba
    January 20, 2023

    Waziri wa Kilimo nchini humo Hussein Bashe alisema serikali imetenga shilingi  Milioni 300 zilizoanza kutumika kusafisha hekta 2,900 za mashamba ya kampuni ya Chai Kilolo zilizotelekezwa kwa miaka 34

  • Mfumuko wa bei barani Afrika kupungua mnamo 2023

    Mfumuko wa bei barani Afrika kupungua mnamo 2023

    Joy Cheptoo
    January 19, 2023

    Uchumi katika mataifa 54 barani Afrika uliathiriwa sana na mdororo wa kiuchumi wa kimataifa wa uvamizi wa Urusi nchini Ukraine

  • Mtanzania afariki kwenye vurugu nchini Afrika Kusini

    Mtanzania afariki kwenye vurugu nchini Afrika Kusini

    Asia Gamba
    January 19, 2023

    Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini umesema Mtanzania, Abilah Hussein Riziki amefariki dunia jijini Johannesburg katika vurugu.

  • Here is what you get with Twitter’s new Ksh.10K annual subscription

    Here is what you get with Twitter’s new Ksh.10K annual subscription

    Joan Wafula
    January 19, 2023

    But what exactly does one get for forking out such amounts of money to access the originally-free platform?

  • Uber yarudisha huduma ya usafiri Tanzania

    Uber yarudisha huduma ya usafiri Tanzania

    Asia Gamba
    January 18, 2023

    Uber Limited ilisitisha huduma zake nchini Tanzania ikipinga kanuni mpya za usafiri wa teksi mtandaoni zilizotangazwa na Mamlaka ya Usafiri wa Nchi Kavu nchini humo (LATRA)

  • NBS yatabiri kupungua kwa mfumuko wa bei Tanzania

    NBS yatabiri kupungua kwa mfumuko wa bei Tanzania

    Asia Gamba
    January 18, 2023

    Kwa mujibu wa Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dk. Albina Chuwa, bei hizo zitapungua kutokana na juhudi mbalimbali zinazofanywa na Serikali ya Tanzania katika  kudhibiti mfumuko wake, ikiwemo kuimarisha sekta ya kilimo kwa kuongeza bajeti ya…

  • Waziri wa mambo ya ndani wa Ukraine na watu 15 wafariki katika ajali ya Helikopta

    Waziri wa mambo ya ndani wa Ukraine na watu 15 wafariki katika ajali ya Helikopta

    Victor Kayanda
    January 18, 2023

    Watoto watatu pia walikuwa miongoni mwa waliofariki na wengine 15 wanaendelea kupokea matibabu hospitalini.

Previous Page
1 … 458 459 460 461 462 … 729
Next Page
Latest News
  • November 25, 2026

    .

    Wadh Kassim

    Survivors Grieve After Nigeria’s Latest Deadly Communal Clashes

  • November 25, 2026

    .

    Kevin Sewe

    Kenyan starvation cult leader convicted of child assault

  • November 25, 2026

    .

    Victor Kayanda

    Ruto awarai wawekezaji wa Ujerumani kufadhili miradi ya miundombinu Kenya

  • November 25, 2026

    .

    Victor Kayanda

    Upinzani Kenya watoa masharti mapya kwa IEBC kabla ya Uchaguzi Mkuu

  • November 25, 2026

    .

    Wadh Kassim

    IEBC Orders 2027 Presidential Aspirants In Public Office To Quit Six Months Before Poll

Search
Featured
  • Kenyan Court Demands Answers From DCI Boss Over Missing Tanzanian Activist

    November 23, 2026
  • Uganda lawyers demand army chief present alleged abductees

    November 20, 2026
  • Amnesty Slams Tundu Lissu’s Incitement Conviction As A ‘Travesty Of Justice’

    November 10, 2026
Useful Links
  • Privacy Policy
  • Terms and Conditions
  • Contact Us
Topics
  • Home
  • Africa
  • East Africa
  • International
  • Lifestyle & Health
  • Gender
  • Business & Finance
  • Entertainment
  • Science & Tech
  • Sports
  • Politics
  • YouTube
  • Instagram
  • X
  • Facebook
  • LinkedIn

Mwanzo TV | Copyright © 2026 | All Rights Reserved

We use cookies to ensure that we give you the best experience on our website. If you continue to use this site we will assume that you are happy with it. Privacy policy