Skip to content

Subscribe to access premium content

Subscribe
  • YouTube
  • X
  • Instagram
  • Facebook
  • Home
  • Africa
  • East Africa
  • International
  • Lifestyle & Health
  • Gender
  • Business & Finance
  • Entertainment
  • Science & Tech
  • Sports
  • Politics
  • Ashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kutengeneza silaha bandia       

    Ashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kutengeneza silaha bandia       

    Asia Gamba
    August 26, 2022

    Silaha alizokutwa nazo ni aina ya AKA 47 (SMG) 11, Uzgun moja, bastola tano, fulana mbili za kujikinga na risasi mbili zilizotengenezwa kwa kutumia plastiki na mbao.

  • Kishikwambi kingine cha sensa chaibiwa Moshi

    Kishikwambi kingine cha sensa chaibiwa Moshi

    Asia Gamba
    August 26, 2022

    Mratibu wa Sensa Mkoa wa Kilimanjaro, Albert Kulwa ametoa taarifa hiyo leo Ijumaa Agosti 26, 2022 wakati akizungumza na waandishi wa habari mjini Moshi, ambapo amesema tukio hilo ni la kizembe na limetokea Agosti 25.

  • Watu watatu wamefariki na wengine 316 wakiugua surua visiwani Zanzibar.

    Watu watatu wamefariki na wengine 316 wakiugua surua visiwani Zanzibar.

    Asia Gamba
    August 26, 2022

    Kwa mujibu wa Meneja wa Kitengo cha Elimu ya Afya wa Wizara ya Afya Zanzibar, Dk Bakar Magarawa mlipuko wa ugonjwa huo umetokea ndani ya kipindi cha mwezi mmoja uliopita.

  • Uamuzi wa kesi ya kina Mdee na wenzake kutolewa Septemba 2

    Uamuzi wa kesi ya kina Mdee na wenzake kutolewa Septemba 2

    Asia Gamba
    August 26, 2022

    Hatua hiyo imekuja baada ya kiongozi wa jopo la mawakili wa Chadema, Peter Kibatala kuwasilisha ombi mbele ya Jaji Cyprian Mkeha kuwa atoe hati ya wito kwa wabunge hao ili waje kuwahoji mahakamani hapo kuhusiana…

  • Anayedaiwa kuiba Kishikwambi cha sensa kufikishwa mahakamani leo

    Anayedaiwa kuiba Kishikwambi cha sensa kufikishwa mahakamani leo

    Asia Gamba
    August 26, 2022

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko amesema mtuhumiwa anayeshikiliwa na Jeshi la Polisi Tanzania,  baada ya kupora kishikwambi kwa karani wa sensa katika kata ya Majimoto halmashauri ya Mpimbwe atafikishwa mahakamani leo Augost 26,…

  • History Is Made In Kenya As Seven Women Are Sworn In As Governors

    History Is Made In Kenya As Seven Women Are Sworn In As Governors

    Joy Cheptoo
    August 26, 2022

    The number of female governors elected in 2022 more than doubled compared to 2017

  • TWAWEZA:Tozo za miamala zinadhihirisha changamoto ya utawala

    TWAWEZA:Tozo za miamala zinadhihirisha changamoto ya utawala

    Asia Gamba
    August 26, 2022

    Kwa mujibu wa ripoti hiyo ni kwamba maoni ya wananchi kuhusu tozo za miamala ya fedha kwa njia ya simu yanadhihirisha changamoto ya utawala. 

  • Mbowe amkumbuka Mrema kwa uthubutu wake kwenye misimamo ya kazi

    Mbowe amkumbuka Mrema kwa uthubutu wake kwenye misimamo ya kazi

    Asia Gamba
    August 25, 2022

    Amesema Mrema alikuwa ni kiongozi ambaye alikuwa akikosoa na kupinga pale panapostahili na kusukuma vita ya kutafuta haki, demokrasia, uhuru na maendeleo ya Watanzania kupitia vyama vya siasa.

  • Karani wa Sensa akutwa amelewa pombe huku akihesabu kaya moja siku nzima

    Karani wa Sensa akutwa amelewa pombe huku akihesabu kaya moja siku nzima

    Asia Gamba
    August 25, 2022

    Mratibu wa Sensa wa Manispaa ya Musoma, Joseph Ochora amemtaja karani wa sensa, Thomas Ndyetabura kwamba anashikiliwa na polisi tangu juzi  kwa kuhesabu kaya moja tu kutwa nzima, baadaye kukutwa akiwa amelewa.

  • Amuua baba yake kisa kuzuiwa kuomba unyumba

    Amuua baba yake kisa kuzuiwa kuomba unyumba

    Asia Gamba
    August 25, 2022

    Jeshi la Polisi mkoani Mtwara linamshikilia Hamis Athumani (23) mkazi wa Chigungwe wilayani Tandahimba kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi kisa kukatazwa kuomba unyumba kwa mkewe mwenye kichanga.

Previous Page
1 … 513 514 515 516 517 … 729
Next Page
Latest News
  • November 25, 2026

    .

    Wadh Kassim

    Survivors Grieve After Nigeria’s Latest Deadly Communal Clashes

  • November 25, 2026

    .

    Kevin Sewe

    Kenyan starvation cult leader convicted of child assault

  • November 25, 2026

    .

    Victor Kayanda

    Ruto awarai wawekezaji wa Ujerumani kufadhili miradi ya miundombinu Kenya

  • November 25, 2026

    .

    Victor Kayanda

    Upinzani Kenya watoa masharti mapya kwa IEBC kabla ya Uchaguzi Mkuu

  • November 25, 2026

    .

    Wadh Kassim

    IEBC Orders 2027 Presidential Aspirants In Public Office To Quit Six Months Before Poll

Search
Featured
  • Kenyan Court Demands Answers From DCI Boss Over Missing Tanzanian Activist

    November 23, 2026
  • Uganda lawyers demand army chief present alleged abductees

    November 20, 2026
  • Amnesty Slams Tundu Lissu’s Incitement Conviction As A ‘Travesty Of Justice’

    November 10, 2026
Useful Links
  • Privacy Policy
  • Terms and Conditions
  • Contact Us
Topics
  • Home
  • Africa
  • East Africa
  • International
  • Lifestyle & Health
  • Gender
  • Business & Finance
  • Entertainment
  • Science & Tech
  • Sports
  • Politics
  • YouTube
  • Instagram
  • X
  • Facebook
  • LinkedIn

Mwanzo TV | Copyright © 2026 | All Rights Reserved

We use cookies to ensure that we give you the best experience on our website. If you continue to use this site we will assume that you are happy with it. Privacy policy