Skip to content

Subscribe to access premium content

Subscribe
  • YouTube
  • X
  • Instagram
  • Facebook
  • Home
  • Africa
  • East Africa
  • International
  • Lifestyle & Health
  • Gender
  • Business & Finance
  • Entertainment
  • Science & Tech
  • Sports
  • Politics
  • Urusi yaishutumu Ukraine kuhusika na kifo cha mtoto wa mshauri wa Putin

    Urusi yaishutumu Ukraine kuhusika na kifo cha mtoto wa mshauri wa Putin

    Asia Gamba
    August 22, 2022

    Idara ya usalama ya FSB ya Urusi leo imesema kwamba Ukraine ndiyo iliyohusika na shambulio la bomu kwenye gari katika viunga vya mji wa Moscow na kumuua binti wa mwana itikadi kali wa Urusi Alexander…

  • Watu wenye silaha wawateka nyara watawa wa Kikatoliki nchini Nigeria

    Watu wenye silaha wawateka nyara watawa wa Kikatoliki nchini Nigeria

    Asia Gamba
    August 22, 2022

    Utekaji nyara unaofanywa na magenge ya wahalifu hutokea mara kwa mara katika nchi hiyo yenye watu wengi zaidi barani Afrika, lakini katika wiki za hivi karibuni waumini wa makanisa ya Kikristo wamezidi kulengwa.

  • Mrema kuzikwa Agosti 25 kijijini kwao

    Mrema kuzikwa Agosti 25 kijijini kwao

    Asia Gamba
    August 22, 2022

    Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mtoto wa Mrema, Michael Mrema Maziko hayo yatatanguliwa na ibada ya mazishi siku ya Jumatano itakayofanyika katika kanisa Katoliki Parokia ya Salasala kabla ya kusafirishwa kwenda mkoani Kilimanjaro. 

  • Wananchi wa Angola wachoshwa na chama tawala wakati nchi hiyo ikijiandaa kwa uchaguzi siku ya Jumatano.

    Wananchi wa Angola wachoshwa na chama tawala wakati nchi hiyo ikijiandaa kwa uchaguzi siku ya Jumatano.

    Asia Gamba
    August 22, 2022

    Wananchi wengi wa Angola wamechoshwa na chama ambacho kimeshika madaraka tangu nchi hiyo ilipojinyakulia uhuru kutoka kwa wakoloni wa Ureno mwaka 1975.

  • Binti wa Mshauri wa Rais Putin afariki kwa kulipukiwa na bomu lililotegwa ndani ya gari

    Binti wa Mshauri wa Rais Putin afariki kwa kulipukiwa na bomu lililotegwa ndani ya gari

    Asia Gamba
    August 22, 2022

    Kulingana na wanafamilia walionukuliwa na vyombo vya habari vya Urusi, Dugin mfuasi mkubwa wa mashambulizi ya Kremlin nchini Ukraine — ndiye aliyelengwa na mlipuko huo kwani binti yake aliazima gari lake dakika za mwisho.

  • Augustine Lyatonga Mrema Mwanasiasa aliyetamba kwenye ulingo wa siasa na kuacha gumzo kila mahali 

    Augustine Lyatonga Mrema Mwanasiasa aliyetamba kwenye ulingo wa siasa na kuacha gumzo kila mahali 

    Asia Gamba
    August 22, 2022

    Mrema ambaye hivi sasa hayupo katika uso wa dunia kufuati kifo chake kilichotokea Agosti 21,2022 katika hospitali ya Taifa Muhimbili nchini Tanzania alipokuwa amelazwa akipokea matibabu atakumbukwa kwa mengi hasa katika nguvu yake ya kujenga…

  • Nitatafuta haki kwa njia ya amani, asema kiongozi wa Azimio Raila Odinga

    Nitatafuta haki kwa njia ya amani, asema kiongozi wa Azimio Raila Odinga

    Victor Kayanda
    August 20, 2022

    Kiongozi wa Azimio la umoja raila Odinga amewataka wakenya kudumisha amani wakati akiendelea kutatafuta haki mahakamani.

  • Kenya: Karua amkosoa rais mteule William Ruto

    Kenya: Karua amkosoa rais mteule William Ruto

    Victor Kayanda
    August 19, 2022

    Mgombea mwenza wa  Azimio la Umoja Martha Karua amemkashifu rais mteule William Ruto kwa kile ametaja kama kwenda kinyume na sheria ya Kenya katika kuvutia upande wake vyama washirika wa Azimio la Umoja.

  • Waajiri wenye malimbikizo ya michango ya NHIF wapewa siku 11 kuyalipa

    Waajiri wenye malimbikizo ya michango ya NHIF wapewa siku 11 kuyalipa

    Asia Gamba
    August 19, 2022

    Taarifa kwa umma iliyotolewa leo Agosti 19, 2022 na Kitengo cha uhusiano NHIF imeeleza kuwa hatua zitachukuliwa kwa waajiri ambao hawatakamilisha michango hiyo.

  • Waandamanaji wafyatuliwa mabomu ya machozi nchini Sudan

    Waandamanaji wafyatuliwa mabomu ya machozi nchini Sudan

    Asia Gamba
    August 19, 2022

    Vikosi vya usalama vilifyatua mabomu ya kutoa machozi kuwatawanya waandamanaji hao.

Previous Page
1 … 515 516 517 518 519 … 729
Next Page
Latest News
  • November 25, 2026

    .

    Wadh Kassim

    Survivors Grieve After Nigeria’s Latest Deadly Communal Clashes

  • November 25, 2026

    .

    Kevin Sewe

    Kenyan starvation cult leader convicted of child assault

  • November 25, 2026

    .

    Victor Kayanda

    Ruto awarai wawekezaji wa Ujerumani kufadhili miradi ya miundombinu Kenya

  • November 25, 2026

    .

    Victor Kayanda

    Upinzani Kenya watoa masharti mapya kwa IEBC kabla ya Uchaguzi Mkuu

  • November 25, 2026

    .

    Wadh Kassim

    IEBC Orders 2027 Presidential Aspirants In Public Office To Quit Six Months Before Poll

Search
Featured
  • Kenyan Court Demands Answers From DCI Boss Over Missing Tanzanian Activist

    November 23, 2026
  • Uganda lawyers demand army chief present alleged abductees

    November 20, 2026
  • Amnesty Slams Tundu Lissu’s Incitement Conviction As A ‘Travesty Of Justice’

    November 10, 2026
Useful Links
  • Privacy Policy
  • Terms and Conditions
  • Contact Us
Topics
  • Home
  • Africa
  • East Africa
  • International
  • Lifestyle & Health
  • Gender
  • Business & Finance
  • Entertainment
  • Science & Tech
  • Sports
  • Politics
  • YouTube
  • Instagram
  • X
  • Facebook
  • LinkedIn

Mwanzo TV | Copyright © 2026 | All Rights Reserved

We use cookies to ensure that we give you the best experience on our website. If you continue to use this site we will assume that you are happy with it. Privacy policy