Skip to content

Subscribe to access premium content

Subscribe
  • YouTube
  • X
  • Instagram
  • Facebook
  • Home
  • Africa
  • East Africa
  • International
  • Lifestyle & Health
  • Gender
  • Business & Finance
  • Entertainment
  • Science & Tech
  • Sports
  • Politics
  • Tanesco yasitisha kuzima mifumo ya Luku

    Tanesco yasitisha kuzima mifumo ya Luku

    Asia Gamba
    August 17, 2022

    Taarifa iliyotolewa asubuhi ya leo Jumatano na Meneja Mwandamizi wa Tehama wa shirika hilo, Cliff Maregeli alisema matengenezo hayo ya siku nne yalikuwa yaanze Agosti 22 – 25, 2022 kuanzia saa 4 usiku hadi saa…

  • Dereva wa dalala adaiwa kumuua mpenzi wake Dar

    Dereva wa dalala adaiwa kumuua mpenzi wake Dar

    Asia Gamba
    August 17, 2022

    Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumatano Agosti 16, 2022 na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum, Jumanne Muliro imeeleza kuwa tukio hilo limetokea Agosti 16, maeneo ya Kimara Suka.

  • Kesi ya mauaji ya askari polisi yakwama kuendelea ikisubiri upelelezi

    Kesi ya mauaji ya askari polisi yakwama kuendelea ikisubiri upelelezi

    Asia Gamba
    August 17, 2022

    Katika kesi hiyo ya mauaji namba 11/2022, washtakiwa 10 kati ya 24 ni madiwani, yumo pia Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ngorongoro, Ndirango Laizer na wakazi wengine.

  • Mfumo wa ununuzi wa Luku kuzimwa kwa siku nne nchini Tanzania

    Mfumo wa ununuzi wa Luku kuzimwa kwa siku nne nchini Tanzania

    Asia Gamba
    August 17, 2022

    Shirika la Umeme Tanzania limesema Wananchi nchini humo hawataweza kununua umeme kwa njia ya Luku kwa muda wa siku nne, Agosti 22 – 25, 2022 kuanzia saa 4 usiku hadi saa 1 asubuhi kutokana na…

  • Kiongozi wa Azimio Raila Odinga kuelekea mahakamani

    Kiongozi wa Azimio Raila Odinga kuelekea mahakamani

    Victor Kayanda
    August 17, 2022

    Sasa ni wazi kuwa mgombea wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga atarejea katika mahakama ya upeo mwaka huu baada ya tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC kumtangaza William Ruto kama mshindi wa…

  • Watu nane wafariki kwenye ajali iliyohusisha Lori na magari mengine mawili

    Watu nane wafariki kwenye ajali iliyohusisha Lori na magari mengine mawili

    Asia Gamba
    August 16, 2022

    Kamanda wa jeshi la Polisi mkoani humo, Urlich Matei amethibitisha kutokea tukio hilo akisema gari kubwa lililokuwa limebeba kontena la mchanga lilifeli breki na kuligonga basi la Super Rojas lililokuwa likitoka Mbeya kwenda Njombe.

  • Historia ya Kenya ya uchaguzi wenye utata

    Historia ya Kenya ya uchaguzi wenye utata

    Asia Gamba
    August 16, 2022

    Katika miaka 30 ya utawala wa vyama vingi vya siasa, uchaguzi katika mamlaka ya Afrika Mashariki mara nyingi umekuwa na matokeo yenye utata na kusababisha ghasia mbaya, huku wapinzani wakishutumiana kwa udanganyifu na wizi wa…

  • Rais Museveni ampongeza Rais mteule wa Kenya, William Ruto

    Rais Museveni ampongeza Rais mteule wa Kenya, William Ruto

    Asia Gamba
    August 16, 2022

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni amempongeza rais mteule wa Kenya, William Ruto, kwa ushindi wake katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti.

  • Majaliwa: Sensa ni muhimu kwa wafanyabiashara kutathimini uwezo wao wa kibiashara

    Majaliwa: Sensa ni muhimu kwa wafanyabiashara kutathimini uwezo wao wa kibiashara

    Asia Gamba
    August 16, 2022

    Ametoa kauli hiyo jana Jumatatu, Agosti 15, 2022, wakati akizungumza na wadau wa sekta binafsi juu ya umuhimu wa ushiriki wao kwenye Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika nchini Agosti 23, 2022 kwenye kikao kilichofanyika…

  • William Ruto declared 5th President of Kenya

    William Ruto declared 5th President of Kenya

    Joy Cheptoo
    August 15, 2022

    The Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) chairman Wafula Chebukati on Monday 15th August declared William Ruto as the 5th President of Kenya.

Previous Page
1 … 517 518 519 520 521 … 729
Next Page
Latest News
  • November 25, 2026

    .

    Wadh Kassim

    Survivors Grieve After Nigeria’s Latest Deadly Communal Clashes

  • November 25, 2026

    .

    Kevin Sewe

    Kenyan starvation cult leader convicted of child assault

  • November 25, 2026

    .

    Victor Kayanda

    Ruto awarai wawekezaji wa Ujerumani kufadhili miradi ya miundombinu Kenya

  • November 25, 2026

    .

    Victor Kayanda

    Upinzani Kenya watoa masharti mapya kwa IEBC kabla ya Uchaguzi Mkuu

  • November 25, 2026

    .

    Wadh Kassim

    IEBC Orders 2027 Presidential Aspirants In Public Office To Quit Six Months Before Poll

Search
Featured
  • Kenyan Court Demands Answers From DCI Boss Over Missing Tanzanian Activist

    November 23, 2026
  • Uganda lawyers demand army chief present alleged abductees

    November 20, 2026
  • Amnesty Slams Tundu Lissu’s Incitement Conviction As A ‘Travesty Of Justice’

    November 10, 2026
Useful Links
  • Privacy Policy
  • Terms and Conditions
  • Contact Us
Topics
  • Home
  • Africa
  • East Africa
  • International
  • Lifestyle & Health
  • Gender
  • Business & Finance
  • Entertainment
  • Science & Tech
  • Sports
  • Politics
  • YouTube
  • Instagram
  • X
  • Facebook
  • LinkedIn

Mwanzo TV | Copyright © 2026 | All Rights Reserved

We use cookies to ensure that we give you the best experience on our website. If you continue to use this site we will assume that you are happy with it. Privacy policy