Skip to content

Subscribe to access premium content

Subscribe
  • YouTube
  • X
  • Instagram
  • Facebook
  • Home
  • Africa
  • East Africa
  • International
  • Lifestyle & Health
  • Gender
  • Business & Finance
  • Entertainment
  • Science & Tech
  • Sports
  • Politics
  • Algeria inaadhimisha miaka 60 ya uhuru kutoka kwa Ufaransa

    Algeria inaadhimisha miaka 60 ya uhuru kutoka kwa Ufaransa

    Maureen Medza
    July 5, 2022

    Algeria ilijipatia uhuru wake kufuatia vita vikali vya miaka minane, ambavyo vilimalizika kwa kutiwa saini kwa Mkataba wa Evian mnamo Machi 1962.

  • Ivory coast kuanza kutumia unga wa muhogo kuoka mkate

    Ivory coast kuanza kutumia unga wa muhogo kuoka mkate

    Maureen Medza
    July 5, 2022

    Huku bei ya ngano ikiendela kupanda kutokana na vita nchini Ukraine, waokaji mikate Ivory Coast wanaanza kutumia unga wa muhogo kuoka mkate.

  • Aliyekuwa bosi wa TPA asomewa mashtaka akiwa kitandani Muhimbili

    Aliyekuwa bosi wa TPA asomewa mashtaka akiwa kitandani Muhimbili

    Asia Gamba
    July 5, 2022

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ilihamia kwa muda jana katika hospitali hiyo kwa ajili ya kumsomea Kipande mashtaka yanayomkabili kuanzia saa 8:57 hadi saa 9:08 mchana, likiwamo la kuisababishia TPA hasara ya shilingi  bilioni 4.2.

  • Morocco yawafungulia mashtaka wahamiaji baada ya janga la Melilla

    Morocco yawafungulia mashtaka wahamiaji baada ya janga la Melilla

    Maureen Medza
    July 5, 2022

    Kesi ya wahamiaji 36 wanaoshtakiwa kwa ‘kuingia Morocco kinyume cha sheria,’ ilianza Jumatatu siku chache baada ya jaribio kubwa la kuvuka hadi katika eneo la Uhispania.

  • Samaki wa ajabu apatikana Mtwara nchini Tanzania

    Samaki wa ajabu apatikana Mtwara nchini Tanzania

    Asia Gamba
    July 5, 2022

    Samaki huyo alivuliwa na wavuvi wa hiyari, ambao hutega nyavu zao baharini, ambazo hubeba chochote kilichopo Baharini.

  • DR Congo yatangaza mwisho wa mlipuko wa hivi punde wa Ebola

    DR Congo yatangaza mwisho wa mlipuko wa hivi punde wa Ebola

    Maureen Medza
    July 4, 2022

    Ebola ni homa ya virusi inayosababisha kuvuja damu ambayo iligunduliwa kwa mara ya kwanza Afrika ya kati mwaka wa 1976.

  • Kigogo TPA atumbuliwa

    Kigogo TPA atumbuliwa

    Asia Gamba
    July 4, 2022

    Rais Samia amechukua uamuzi huo saa chache baada kusema haridhishwi na kasi ya utendaji wa bandari za Tanzania na kuwataka watendaji waache siasa na longolongo wakati wa utekelezaji majukumu yao

  • Somalia yatoa leseni za kwanza kwa benki za kigeni

    Somalia yatoa leseni za kwanza kwa benki za kigeni

    Maureen Medza
    July 4, 2022

    Benki inayomilikiwa na serikali ya Banque Misr ya Misri na Ziraat Katilim ya Uturuki zitakuwa benki za kwanza za kimataifa kufanya kazi nchini humo,

  • Misri: Watalii wauawa baada ya kushambuliwa na papa

    Misri: Watalii wauawa baada ya kushambuliwa na papa

    Maureen Medza
    July 4, 2022

    Wanawake wawili, mmoja raia wa Austria na mwingine raia wa Romania, waliuawa katika shambulio la papa katika bahari ya Red Sea

  • Viongozi wa ECOWAS waiondolea Mali vikwazo

    Viongozi wa ECOWAS waiondolea Mali vikwazo

    Maureen Medza
    July 4, 2022

    Mali ilifanya mapinduzi Agosti 2020 na Mei 2021, ikifuatiwa na Guinea Septemba 2021 na Burkina Faso mwezi Januari

Previous Page
1 … 546 547 548 549 550 … 729
Next Page
Latest News
  • November 25, 2026

    .

    Kevin Sewe

    Kenyan starvation cult leader convicted of child assault

  • November 25, 2026

    .

    Victor Kayanda

    Ruto awarai wawekezaji wa Ujerumani kufadhili miradi ya miundombinu Kenya

  • November 25, 2026

    .

    Victor Kayanda

    Upinzani Kenya watoa masharti mapya kwa IEBC kabla ya Uchaguzi Mkuu

  • November 25, 2026

    .

    Wadh Kassim

    IEBC Orders 2027 Presidential Aspirants In Public Office To Quit Six Months Before Poll

  • November 24, 2026

    .

    Kevin Sewe

    Senegal regain AFCON title after appeal: sports court

Search
Featured
  • Kenyan Court Demands Answers From DCI Boss Over Missing Tanzanian Activist

    November 23, 2026
  • Uganda lawyers demand army chief present alleged abductees

    November 20, 2026
  • Amnesty Slams Tundu Lissu’s Incitement Conviction As A ‘Travesty Of Justice’

    November 10, 2026
Useful Links
  • Privacy Policy
  • Terms and Conditions
  • Contact Us
Topics
  • Home
  • Africa
  • East Africa
  • International
  • Lifestyle & Health
  • Gender
  • Business & Finance
  • Entertainment
  • Science & Tech
  • Sports
  • Politics
  • YouTube
  • Instagram
  • X
  • Facebook
  • LinkedIn

Mwanzo TV | Copyright © 2026 | All Rights Reserved

We use cookies to ensure that we give you the best experience on our website. If you continue to use this site we will assume that you are happy with it. Privacy policy