Skip to content

Subscribe to access premium content

Subscribe
  • YouTube
  • X
  • Instagram
  • Facebook
  • Home
  • Africa
  • East Africa
  • International
  • Lifestyle & Health
  • Gender
  • Business & Finance
  • Entertainment
  • Science & Tech
  • Sports
  • Politics
  • Nigeria:  Polisi waokoa makumi ya watu wakiwemo watoto waliokuwa wakizuiliwa kanisani

    Nigeria: Polisi waokoa makumi ya watu wakiwemo watoto waliokuwa wakizuiliwa kanisani

    Maureen Medza
    July 4, 2022

    Polisi wa Nigeria wamewaokoa makumi ya watu, wakiwemo watoto, kutoka kwenye chumba cha chini cha kanisa ambako walikuwa wameambiwa wangojee kile walichoamini kungekuwa ujio wa pili wa Kristo

  • Mwanaume mmoja nchini Tanzania akatwa sehemu za siri akiwa kwenye kilabu cha pombe

    Mwanaume mmoja nchini Tanzania akatwa sehemu za siri akiwa kwenye kilabu cha pombe

    Asia Gamba
    July 4, 2022

    Tukio la mwanaume huyo kukatwa nyeti lilitokea Juni 28, 2022 usiku ambapo inadaiwa kuwa alikuwa kwenye kilabu cha pombe za kienyeji na alipotoka nje kujisaidia akakutana na watu hao na kumkata kwa kutumia kisu.

  • Upotoshaji wamkera Rais wa Zanzibar Dk. Mwinyi

    Upotoshaji wamkera Rais wa Zanzibar Dk. Mwinyi

    Asia Gamba
    July 4, 2022

    Rais Mwinyi alisema baada ya serikali kuingia makubaliano na kampuni ya kimataifa ya Dnata kuendeshwa uwanja wa ndege kisasa, yamekuwapo maneno mengi ya upotoshaji.

  • Miili ya familia ya watu sita waliouawa wazikwa usiku

    Miili ya familia ya watu sita waliouawa wazikwa usiku

    Asia Gamba
    July 4, 2022

    Miili hiyo imezikwa kwa pamoja jana Jumapili Julai 3, 2022 , majira ya usiku, huku vilio na simanzi zikitawala

  • Miaka 30 ya Vyama Vingi: Changamoto na Mustakabali kusonga mbele

    Miaka 30 ya Vyama Vingi: Changamoto na Mustakabali kusonga mbele

    Asia Gamba
    July 1, 2022

    Leo Tanzania inatimiza miaka 30 tangu turejee rasmi katika siasa za mfumo wa vyama vingi. Katika kipindi hicho, taifa letu limepitia katika kipindi cha furaha, majonzi, misukusuko na changamoto zote wakati taifa linapoanza njia mpya.…

  • Sudan: Vitoza machozi vyafyatuliwa kwenye maandamano ya kupinga mapinduzi

    Sudan: Vitoza machozi vyafyatuliwa kwenye maandamano ya kupinga mapinduzi

    Maureen Medza
    July 1, 2022

    Wasudan waandamana kupinga unyakuzi wa kijeshi ulioongozwa na mkuu wa jeshi Abdel Fattah al-Burhan Oktoba mwaka jana.

  • William Ruto azindua manifesto ya Kenya Kwanza

    William Ruto azindua manifesto ya Kenya Kwanza

    Maureen Medza
    July 1, 2022

    Zaidi ya hayo, kaunti zitahimizwa kuondoa ada za leseni za biashara mpya zilizoanzishwa na watu wenye ulemavu, huku zikiondoa ushuru wa vifaa vyote vya usaidizi kwa walemavu vinavyoagizwa kutoka nje.

  • Mabosi wa TPA wapandishwa kizimbani kwa kuisababishia serikali hasara ya shilingi bilioni 4.2

    Mabosi wa TPA wapandishwa kizimbani kwa kuisababishia serikali hasara ya shilingi bilioni 4.2

    Asia Gamba
    July 1, 2022

    Waliofikishwa mahakamani kwa makosa hayo, ni Ofisa Rasilimali Watu wa mamlaka hiyo, Peter Gawile (58); Mwenyekiti wa Bodi ya Manunuzi, Casmily Lujegi (65); Mkurugenzi wa Idara ya Manunuzi, Mashaka Kisanta (59) na Kilian Chale (51),…

  • Mwanawe Fela Kuti aghairi tamasha la Morocco kutokana na vifo vya wahamiaji

    Mwanawe Fela Kuti aghairi tamasha la Morocco kutokana na vifo vya wahamiaji

    Maureen Medza
    July 1, 2022

    Mwimbaji na mcheza saxophone huyo alikuwa amepangwa kucheza siku ya Jumamosi katika tamasha la Jazzablanca katika jiji la bandari la Morocco la Casablanca.

  • Kesi ya mauaji ya askari Ngorongoro Mawakili 14 wajitokeza kuwatetea watuhumiwa 25 wa mauaji hayo

    Kesi ya mauaji ya askari Ngorongoro Mawakili 14 wajitokeza kuwatetea watuhumiwa 25 wa mauaji hayo

    Asia Gamba
    June 30, 2022

    Leo Juni 30, 2022 watuhumiwa hao wakiwemo madiwani tisa wa wilaya hiyo na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani humo Ndirango Laizer walifikishwa tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha.

Previous Page
1 … 547 548 549 550 551 … 729
Next Page
Latest News
  • November 25, 2026

    .

    Kevin Sewe

    Kenyan starvation cult leader convicted of child assault

  • November 25, 2026

    .

    Victor Kayanda

    Ruto awarai wawekezaji wa Ujerumani kufadhili miradi ya miundombinu Kenya

  • November 25, 2026

    .

    Victor Kayanda

    Upinzani Kenya watoa masharti mapya kwa IEBC kabla ya Uchaguzi Mkuu

  • November 25, 2026

    .

    Wadh Kassim

    IEBC Orders 2027 Presidential Aspirants In Public Office To Quit Six Months Before Poll

  • November 24, 2026

    .

    Kevin Sewe

    Senegal regain AFCON title after appeal: sports court

Search
Featured
  • Kenyan Court Demands Answers From DCI Boss Over Missing Tanzanian Activist

    November 23, 2026
  • Uganda lawyers demand army chief present alleged abductees

    November 20, 2026
  • Amnesty Slams Tundu Lissu’s Incitement Conviction As A ‘Travesty Of Justice’

    November 10, 2026
Useful Links
  • Privacy Policy
  • Terms and Conditions
  • Contact Us
Topics
  • Home
  • Africa
  • East Africa
  • International
  • Lifestyle & Health
  • Gender
  • Business & Finance
  • Entertainment
  • Science & Tech
  • Sports
  • Politics
  • YouTube
  • Instagram
  • X
  • Facebook
  • LinkedIn

Mwanzo TV | Copyright © 2026 | All Rights Reserved

We use cookies to ensure that we give you the best experience on our website. If you continue to use this site we will assume that you are happy with it. Privacy policy