Skip to content

Subscribe to access premium content

Subscribe
  • YouTube
  • X
  • Instagram
  • Facebook
  • Home
  • Africa
  • East Africa
  • International
  • Lifestyle & Health
  • Gender
  • Business & Finance
  • Entertainment
  • Science & Tech
  • Sports
  • Politics
  • Biden atia saini agizo kuu la kutunga mageuzi katika idara ya polisi kwenye kumbukumbu ya mwaka wa pili wa kifo cha George Floyd

    Biden atia saini agizo kuu la kutunga mageuzi katika idara ya polisi kwenye kumbukumbu ya mwaka wa pili wa kifo cha George Floyd

    Maureen Medza
    May 26, 2022

    Rais Joe Biden ameadhimisha kumbukumbu ya mwaka wa pili wa mauaji ya George Floyd kwa kutia saini agizo kuu la kutunga mageuzi katika idara ya polisi

  • Uhuru, Ruto wakaa mbali mbali katika mkutano  wa maombi ya kitaifa

    Uhuru, Ruto wakaa mbali mbali katika mkutano wa maombi ya kitaifa

    Maureen Medza
    May 26, 2022

    Wakati wa hafla hiyo iliyofanyika katika Hoteli ya Safari Park jijini Nairobi, Uhuru na Ruto walikaa kwa utulivu kila mmoja akishiriki kwenye meza yake tofauti.

  • Polisi Tanzania yamshikilia mtuhumia wa ubakaji wa watoto watatu.

    Polisi Tanzania yamshikilia mtuhumia wa ubakaji wa watoto watatu.

    Asia Gamba
    May 26, 2022

    Mtuhumiwa anadaiwa kufanya ukatili huo Februari mwaka huu wakati watoto hao walipokuwa wameenda kuchanja kuni katika msitu wa Serikali wa Rwendimi

  • Mwenyekiti wa CWT Rombo auawa mwili wake watupwa barabarani

    Mwenyekiti wa CWT Rombo auawa mwili wake watupwa barabarani

    Asia Gamba
    May 26, 2022

    Tukio hilo limetokea leo majira ya saa 10 alfajiri eneo la Mrere Mashati,karibu na shule ya Sekondari Shauritanga ambapo mwili wa mwalimu Hiza umekutwa barabarani huku damu zikiwa zinachuruzika kwenye lami

  • Wazima moto wafaulu kudhibiti moto katika bandari ya Red Sea nchini Sudan

    Wazima moto wafaulu kudhibiti moto katika bandari ya Red Sea nchini Sudan

    Maureen Medza
    May 26, 2022

    Moto huo ulioenea kwa kasi kwa saa kadhaa, ulizuka katika eneo la kushusha mizigo kwenye bandari siku ya Jumatano.

  • Takriban watu watatu wakatwa vichwa katika mashambulizi Msumbiji

    Takriban watu watatu wakatwa vichwa katika mashambulizi Msumbiji

    Maureen Medza
    May 26, 2022

    Takriban watu watatu wamekatwa vichwa kutokana na kuzuka upya kwa ghasia za Kiislamu kaskazini mwa Msumbiji, polisi walisema Jumatano. “Ijumaa iliyopita, magaidi walivamia baadhi ya mashamba katika kijiji cha kwanza katika wilaya ya Macomia na…

  • Kanuni mpya ya kikokotoo kuleta neema kwa wastaafu Tanzania

    Kanuni mpya ya kikokotoo kuleta neema kwa wastaafu Tanzania

    Asia Gamba
    May 26, 2022

    Kikokotoo hiki pia kinaongeza pensheni ya mwezi kutoka asilimia 50 ya sasa hadi asilimia 66 kwa waliokuwa wanachama wa PSPF na LAPF ambao ni asilimia 19 ya wanachama wote wa mifuko ya hifadhi ya jamii.

  • “Ondoka barani Afrika,” waandamanaji mjini Pretoria waiambia Ufaransa

    “Ondoka barani Afrika,” waandamanaji mjini Pretoria waiambia Ufaransa

    Maureen Medza
    May 26, 2022

    Waandamanaji kutoka chama cha EFF Afrika Kusini waliandamana Jumatano hadi kwenye ubalozi wa Ufaransa mjini Pretoria kuitaka Ufaransa iondoke Afrika.

  • Senegal: Watoto 11 wafariki katika ajali ya moto hospitalini

    Senegal: Watoto 11 wafariki katika ajali ya moto hospitalini

    Maureen Medza
    May 26, 2022

    Mkasa huo ulitokea katika Hospitali ya Mame Abdou Aziz Sy Dabakh mjini Tivaouane, na ulisababishwa na hililafu ya umeme kulingana na mwanasiasa Diop Sy.

  • Amerika: Watoto 19 na walimu wawili wauawa kwenye shambulio

    Amerika: Watoto 19 na walimu wawili wauawa kwenye shambulio

    Maureen Medza
    May 25, 2022

    Mshambuliaji Salvador Ramos aliua watu 21 katika darasa moja

Previous Page
1 … 574 575 576 577 578 … 729
Next Page
Latest News
  • November 25, 2026

    .

    Victor Kayanda

    Upinzani Kenya watoa masharti mapya kwa IEBC kabla ya Uchaguzi wa mwaka wa 2027

  • November 25, 2026

    .

    Wadh Kassim

    IEBC Orders 2027 Presidential Aspirants In Public Office To Quit Six Months Before Poll

  • November 24, 2026

    .

    Kevin Sewe

    Senegal regain AFCON title after appeal: sports court

  • November 24, 2026

    .

    Kevin Sewe

    Young protesters hit the streets across Europe

  • November 24, 2026

    .

    Wadh Kassim

    Gov’t Orders 90-Day Probe Into 687 School Unrest Cases

Search
Featured
  • Kenyan Court Demands Answers From DCI Boss Over Missing Tanzanian Activist

    November 23, 2026
  • Uganda lawyers demand army chief present alleged abductees

    November 20, 2026
  • Amnesty Slams Tundu Lissu’s Incitement Conviction As A ‘Travesty Of Justice’

    November 10, 2026
Useful Links
  • Privacy Policy
  • Terms and Conditions
  • Contact Us
Topics
  • Home
  • Africa
  • East Africa
  • International
  • Lifestyle & Health
  • Gender
  • Business & Finance
  • Entertainment
  • Science & Tech
  • Sports
  • Politics
  • YouTube
  • Instagram
  • X
  • Facebook
  • LinkedIn

Mwanzo TV | Copyright © 2026 | All Rights Reserved

We use cookies to ensure that we give you the best experience on our website. If you continue to use this site we will assume that you are happy with it. Privacy policy