Skip to content

Subscribe to access premium content

Subscribe
  • YouTube
  • X
  • Instagram
  • Facebook
  • Home
  • Africa
  • East Africa
  • International
  • Lifestyle & Health
  • Gender
  • Business & Finance
  • Entertainment
  • Science & Tech
  • Sports
  • Politics
  • Wanaotafuta hifadhi Uingereza kuwasili Rwanda katika wiki chache zijazo

    Wanaotafuta hifadhi Uingereza kuwasili Rwanda katika wiki chache zijazo

    Maureen Medza
    May 20, 2022

    makubaliano yanayoiwezesha Uingereza kutuma wahamiaji na wanaotafuta hifadhi Rwanda yamevutia ukosoaji mkali kutoka kwa makundi ya kutetea haki za binadamu, upinzani katika nchi zote mbili na hata Umoja wa Mataifa.

  • Equatorial Guinea: Makumi ya wasichana waugua baada ya kupokea chanjo

    Equatorial Guinea: Makumi ya wasichana waugua baada ya kupokea chanjo

    Maureen Medza
    May 20, 2022

    Kulingana na mamlaka ya afya, kati ya wasichana 7,000 waliochanjwa nchini Equatorial Guinea wakati wa Wiki ya Chanjo kwa Afrika ni asilimia 1.4 tu wameathirika.

  • Rais Uhuru Kenyatta amemsimamisha kazi Jaji Said Juma Chitembwe.

    Rais Uhuru Kenyatta amemsimamisha kazi Jaji Said Juma Chitembwe.

    Maureen Medza
    May 20, 2022

    Kuondolewa kwa jaji kunaweza tu kuanzishwa na JSC ikifanya kazi kwa hoja yake yenyewe au kwa ombi la mtu yeyote kwa tume.

  • Dk.Stergomena:Lengo la mafunzo ya JKT kwa vijana si kuwaajiri bali kuwapatia stadi za maisha

    Dk.Stergomena:Lengo la mafunzo ya JKT kwa vijana si kuwaajiri bali kuwapatia stadi za maisha

    Asia Gamba
    May 19, 2022

    Dk. Stergomena ameyasema hayo leo wakati akiwasilisha bajeti ya Wizara hiyo leo ambapo amebainisha kuwa dhumuni la mafunzo yanayotolewa kwa vijana ni kuwapatia stadi za kazi na stadi za maisha, ili baada ya kumaliza muda…

  • Watu 28 wauawa Sudan Kusini wakati wa majaribio ya uvamizi wa mifugo

    Watu 28 wauawa Sudan Kusini wakati wa majaribio ya uvamizi wa mifugo

    Maureen Medza
    May 19, 2022

    Nchi hiyo yenye watu milioni 11 imejitahidi kudumisha amani  katika miaka ya hivi karibuni tangu mikataba ya amani ya 2018.

  • Wanajeshi wa Uganda kuondoka DRC ifikapo Mei 31

    Wanajeshi wa Uganda kuondoka DRC ifikapo Mei 31

    Maureen Medza
    May 19, 2022

    Uganda ilijiunga na vikosi vya Congo mnamo Novemba 30 katika vita dhidi ya Allied Democratic Forces (ADF), inayotuhumiwa kwa mauaji mashariki mwa DR Congo na milipuko ya mabomu nchini Uganda.

  • Martha Karua, Mgombea mwenza wa Raila Odinga

    Martha Karua, Mgombea mwenza wa Raila Odinga

    Maureen Medza
    May 19, 2022

    Martha Karua huenda akawa naibu rais wa kwanza mwanamke katika historia ya Kenya, iwapo Muungano wa, Azimio la Umoja One Kenya, utashinda uchaguzi wa Agosti 9.

  • Kenya: Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC yatangaza majina 38 ya wagombea binafsi wa urais

    Kenya: Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC yatangaza majina 38 ya wagombea binafsi wa urais

    Maureen Medza
    May 19, 2022

    Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka imetangaza kwenye gazeti la serikali majina 38 ya wagombea urais wanaotaka kuwania kiti cha urais katika uchaguzi wa Agosti kama wagombea binafsi.

  • Wezi wa miundombinu ya serikali wamkera Rais Samia

    Wezi wa miundombinu ya serikali wamkera Rais Samia

    Asia Gamba
    May 18, 2022

    Akizungumza  leo Mei 18, 2022 katika ufunguzi wa barabara ya Tabora, Koga – Mpanda KM 342.9, Rais Samia amesema miundombinu hiyo inatengenezwa kwa fedha nyingi za mikopo.

  • Mwanamke afanya ngono na mtoto wa darasa la tatu nchini Tanzania

    Mwanamke afanya ngono na mtoto wa darasa la tatu nchini Tanzania

    Asia Gamba
    May 18, 2022

    Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa, Allan Bukumbi, amesema tukio hilo lilitokea Mei 8, 2022  Kijiji cha Lumuli kilichopo halmashauri ya Wilaya ya Iringa.

Previous Page
1 … 578 579 580 581 582 … 729
Next Page
Latest News
  • November 25, 2026

    .

    Wadh Kassim

    IEBC Orders 2027 Presidential Aspirants In Public Office To Quit Six Months Before Poll

  • November 24, 2026

    .

    Kevin Sewe

    Senegal regain AFCON title after appeal: sports court

  • November 24, 2026

    .

    Kevin Sewe

    Young protesters hit the streets across Europe

  • November 24, 2026

    .

    Wadh Kassim

    Gov’t Orders 90-Day Probe Into 687 School Unrest Cases

  • November 24, 2026

    .

    Kevin Sewe

    Amnesty alleges possible war crimes in Ethiopia shellin

Search
Featured
  • Kenyan Court Demands Answers From DCI Boss Over Missing Tanzanian Activist

    November 23, 2026
  • Uganda lawyers demand army chief present alleged abductees

    November 20, 2026
  • Amnesty Slams Tundu Lissu’s Incitement Conviction As A ‘Travesty Of Justice’

    November 10, 2026
Useful Links
  • Privacy Policy
  • Terms and Conditions
  • Contact Us
Topics
  • Home
  • Africa
  • East Africa
  • International
  • Lifestyle & Health
  • Gender
  • Business & Finance
  • Entertainment
  • Science & Tech
  • Sports
  • Politics
  • YouTube
  • Instagram
  • X
  • Facebook
  • LinkedIn

Mwanzo TV | Copyright © 2026 | All Rights Reserved

We use cookies to ensure that we give you the best experience on our website. If you continue to use this site we will assume that you are happy with it. Privacy policy