-

EAC kusoma Bajeti kuu za serikali Juni 14.
Kutokana na mabadiliko hayo, baadhi ya Wizara zimepunguziwa siku za uwasilishaji wa bajeti zake kutoka siku mbili na sasa wabunge watachangia kwa siku moja tu.
-

Urusi: Mpango wa Uswidi na Ufini kutaka kujiunga na NATO ni ‘kosa kubwa’
Urusi ilionya Jumatatu kwamba maamuzi ya Finland na Uswidi kujiunga na muungano wa kijeshi wa NATO yalikuwa makosa makubwa na Moscow itachukua hatua.
-

Halima na wenzake wafungua kesi mahakamani kupinga kuvuliwa uanachama wa CHADEMA nchini Tanzania.
Tarehe 11 mwezi huu Baraza Kuu la CHADEMA lilitupilia mbali rufaa ya wabunge hao ambao walikuwa wakipinga kufukuzwa uanachama na Kamati Kuu ya chama hicho, na hivyo kumlazimu Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika kuwasilisha…
-

Mgombea urais wa Kenya Ruto amchagua msaidizi wa zamani wa Kenyatta kuwa mgombea mwenza
Rigathi Gachagua, ambaye alihudumu kama msaidizi wa kibinafsi wa Kenyatta kati ya 2001 na 2006, alichaguliwa baada ya mchakato wa usiri wa miezi kadhaa
-

Somalia yamchagua Hassan Sheik Mohamud kama rais kwa mara ya pili
Mohamud, alikuwa rais kutoka 2012-2017, aliapishwa muda mfupi baada ya kura kuhesabiwa.
-

Rais wa UAE Sheikh Khalifa afariki akiwa na umri wa miaka 73
Sheikh Khalifa alichukua wadhifa wa rais wa UAE mnamo Novemba 2004, akimrithi baba yake kama mtawala wa 16 wa Abu Dhabi, eneo tajiri zaidi kati ya falme saba za shirikisho hilo.
-

Elon Musk asema mpango wa kununua Twitter ‘umesitishwa kwa muda’
Tangazo la Ijumaa lilisababisha hisa za Twitter kushuka kwa asilimia 20
-

Nigeria: Mwanafunzi wa Kikristo apigwa mawe na umati hadi kufa kwa shtuma za kukufuru
Wanafunzi Waislamu kaskazini magharibi mwa Nigeria walimpiga kwa mawe mwanafunzi Mkristo hadi kufa na kuchoma maiti yake baada ya kumtuhumu kwa kumkufuru Mtume Muhammad
-

Ubalozi wa Palestina nchini Tanzania watoa neno mauaji ya mwandishi wa Al-Jazeera
Mwanamke huyo alikuwa amevalia fulana yake iliyoandikwa “PRESS”, hata hivyo alipigwa risasi licha ya kuvaa kizibao chenye alama hiyo ambayo ilidhaniwa itamlinda kama mwandishi wa habari katika maeneo yenye migogoro.
-

Wizara ya Maji Tanzania yaomba bajeti ya bilioni 709.36 kwa matumizi ya wizara hiyo
Jumla ya bajeti ya maendeleo ni Shilingi Billioni 657.8 ambapo kati ya fedha hizo, Shilingi Billioni 407.06 sawa na asilimia 61.87 ni fedha za ndani na Shilingi Billioni 250.8 sawa na asilimia 38.13 ni fedha…







