Skip to content

Subscribe to access premium content

Subscribe
  • YouTube
  • X
  • Instagram
  • Facebook
  • Home
  • Africa
  • East Africa
  • International
  • Lifestyle & Health
  • Gender
  • Business & Finance
  • Entertainment
  • Science & Tech
  • Sports
  • Politics
  • Mitaala 51 ya elimu yahakikiwa Tanzania

    Mitaala 51 ya elimu yahakikiwa Tanzania

    Asia Gamba
    May 10, 2022

    Serikali kupitia Baraza la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi, imehakiki mitaala 51 kati ya 150 iliyoandaliwa na vyuo vya elimu ya ufundi kwa lengo la kuhakikisha kuwa mafunzo yanayotolewa yanakidhi mahitaji ya…

  • Bilioni 100 zatolewa kukabiliana na upandaji bei wa Mafuta Tanzania

    Bilioni 100 zatolewa kukabiliana na upandaji bei wa Mafuta Tanzania

    Asia Gamba
    May 10, 2022

    Akiwasilisha taarifa ya hali ya mafuta bungeni, waziri Makamba amesema, ruzuku hiyo haita athiri miradi ya serikali inayoendelea na uamuzi huo ni hatua ya serikali ya muda mfupi kupunguza ongezeko la bei ya mafuta kabla…

  • Raia 14 wauawa katika shambulizi mashariki mwa DR Congo

    Raia 14 wauawa katika shambulizi mashariki mwa DR Congo

    Maureen Medza
    May 10, 2022

    CODECO — jina la Ushirika wa Maendeleo ya Congo — ni dhehebu la kisiasa-kidini ambalo linadai kuwakilisha maslahi ya kabila la Lendu.

  • Wanawake wa Afghanistan wapinga agizo la Taliban kufunika nyuso na vazi la burqa

    Wanawake wa Afghanistan wapinga agizo la Taliban kufunika nyuso na vazi la burqa

    Maureen Medza
    May 10, 2022

    Akhundzada pia aliamuru mamlaka kuwafuta kazi wafanyikazi wa serikali wa kike ambao hawafuati kanuni mpya ya mavazi, na kuwasimamisha kazi wafanyikazi wa kiume ikiwa wake na binti zao watakosa kufuata sheria hizo.

  • Mwanawe rais wa zamani wa Ufilipino Ferdinard Marcos apata ushindi wa urais

    Mwanawe rais wa zamani wa Ufilipino Ferdinard Marcos apata ushindi wa urais

    Maureen Medza
    May 10, 2022

    Ushindi wa Marcos ni pigo kubwa kwa mamilioni ya Wafilipino ambao walitarajia kubadili mwelekeo baada ya miaka sita ya umwagaji damu ya utawala wa kimabavu wa Rais Rodrigo Duterte.

  • Mazungumzo ya COP15 yakukabiliana na kuenea kwa jangwa yafanyika Abidjan

    Mazungumzo ya COP15 yakukabiliana na kuenea kwa jangwa yafanyika Abidjan

    Maureen Medza
    May 10, 2022

    Miongo kadhaa ya kilimo kisicho endelevu kimedhoofisha udongo duniani kote na kuharakisha ongezeko la joto duniani na upotevu wa viumbe, UNCCD inasema, huku takriban asilimia 40 ya ardhi ikiharibika kote duniani.

  • Wabadhirifu MSD kukiona,Waziri Mkuu asema wachukuliwe hatua

    Wabadhirifu MSD kukiona,Waziri Mkuu asema wachukuliwe hatua

    Asia Gamba
    May 9, 2022

    Majaliwa amesema hoja zote zilizotolewa katika ripoti ya CAG lazima zifanyiwe kazi na tayari Taasisi ya Kuzuia na Kupambana Rushwa (TAKUKURU) imeanza kufanyia kazi hoja zote zilizotolewa kuhusu MSD.

  • Miili mingine yapatikana mto Mori

    Miili mingine yapatikana mto Mori

    Asia Gamba
    May 9, 2022

    Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Juma Chikoka amesema kuwa waopoaji hivi sasa wanaendelea na utafutaji wa mwili mmoja ambo ni wa mtoto wa miaka mitano.

  • Don’t look down! – What you need to know about the spectacular glass bridge in Vietnam

    Don’t look down! – What you need to know about the spectacular glass bridge in Vietnam

    Leah Ngari
    May 9, 2022

    The floor of the bridge is made from French-produced tempered glass, making it strong enough to support up to 450 people at a time

  • Bobi Wine ndani ya Baraza Kuu la Chadema

    Bobi Wine ndani ya Baraza Kuu la Chadema

    Asia Gamba
    May 9, 2022

    Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje, John Mrema amethibitisha ujio wa Bob Wine leo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya kikao hicho, kitakachotanguliwa na kikao cha kamati kuu itakayoketi kesho…

Previous Page
1 … 582 583 584 585 586 … 729
Next Page
Latest News
  • November 25, 2026

    .

    Wadh Kassim

    IEBC Orders 2027 Presidential Aspirants In Public Office To Quit Six Months Before Poll

  • November 24, 2026

    .

    Kevin Sewe

    Senegal regain AFCON title after appeal: sports court

  • November 24, 2026

    .

    Kevin Sewe

    Young protesters hit the streets across Europe

  • November 24, 2026

    .

    Wadh Kassim

    Gov’t Orders 90-Day Probe Into 687 School Unrest Cases

  • November 24, 2026

    .

    Kevin Sewe

    Amnesty alleges possible war crimes in Ethiopia shellin

Search
Featured
  • Kenyan Court Demands Answers From DCI Boss Over Missing Tanzanian Activist

    November 23, 2026
  • Uganda lawyers demand army chief present alleged abductees

    November 20, 2026
  • Amnesty Slams Tundu Lissu’s Incitement Conviction As A ‘Travesty Of Justice’

    November 10, 2026
Useful Links
  • Privacy Policy
  • Terms and Conditions
  • Contact Us
Topics
  • Home
  • Africa
  • East Africa
  • International
  • Lifestyle & Health
  • Gender
  • Business & Finance
  • Entertainment
  • Science & Tech
  • Sports
  • Politics
  • YouTube
  • Instagram
  • X
  • Facebook
  • LinkedIn

Mwanzo TV | Copyright © 2026 | All Rights Reserved

We use cookies to ensure that we give you the best experience on our website. If you continue to use this site we will assume that you are happy with it. Privacy policy