-

Bibi arusi, mpishi wakamatwa kwa kutia bangi kwenye chakula cha harusi
Baada ya mgonjwa mmoja kufanyiwa uchunguzi, THC kiungo kikuu cha bangi kinachoathiri akili,kilipatikana kwenye damu yake
-

Takriban watu 6 wamekufa, 48 waokolewa baada ya mashua kupinduka karibu na Lebanon
sio ajali ya kwanza ya aina yake kwa nchi hiyo iliyokumbwa na mzozo na inayokabiliana na mdororo mbaya zaidi wa kifedha kuwahi kutokea.
-

Ukaguzi wa vituo vya kutolea huduma za afya kuanza leo
Aprili 20 mwaka huu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Profesa Abel Makubi alisema ukaguzi huo pia utafanyika katika vituo binafsi vya afya.
-

Alpha Conde, Rais wa zamani wa Guinea ‘hatimaye yuko huru’
Conde alikuwa rais wa kwanza wa Guinea kuchaguliwa kidemokrasia mwaka 2010, aliondolewa madarakani na maafisa wa jeshi mwaka jana na nafasi yake kuchukuliwa na Kanali Mamady Doumbouya.
-

Watuhimiwa kufanya utekaji na kuwabaka warembo
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Jastin Masejo amethibitisha kukamatwa kwa watuhumiwa hao na kuongeza kuwa kuna watuhumiwa zaidi wamekamatwa wakidaiwa kushirikiana na mtandao huo.
-

#Sudan: Ghasia katika jimbo la Darfur zasababisha vifo vya watu 168
Darfur, ambayo imekumwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyozuka mwaka 2003, imeshuhudia ongezeko la vita na mauaji tangu Oktoba mwaka jana
-

Nigeria: Mlipuko katika kiwanda haramu cha mafuta chawaua takriban watu 110
Moto wa mabomba ya mafuta ni jambo la kawaida nchini Nigeria, kwa sababu ya wezi ambao huharibu mabomba ili kunyonya petroli na kuiuza kwenye soko haramu
-

#Kenya: Rais mstaafu Mwai Kibaki aaga dunia
Rais wa zamani wa Kenya Mwai Kibaki, ambaye aliongoza Kenya kwa zaidi ya muongo mmoja amefariki dunia,
-

Meneja wa mgodi mwenye asili ya China ahukumiwa kifungo Rwanda kwa kumnyanyasa mwajiriwa
Raia wa China amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa kuwatesa wafanyakazi wa mgodi nchini Rwanda








