-

Watu wanne wafariki kutokana na homa ya manjano nchini Kenya
Ugonjwa huo huenezwa na mbu wale wale wanaoneza magonjwa ya Zika na dengue.
-

Kenya: Polisi yawatia mbaroni waendesha bodaboda 16 kwa kumshambulia mwanamke
Kamanda wa Trafiki Nairobi Joshua Omukata alisema washukiwa hao 16 wanazuiliwa katika Kituo cha Polisi cha Parklands huku uchunguzi kuhusu kisa hicho ukiendelea.
-

Ukraine yakataa kutoa njia salama kwa Urusi kwa wakimbzi wanaotoroka mashambulizi
Vladamir Putin ameahidi atatimiza lengo lake kwa njia yoyote ile iwe “kwa mazungumzo au kupitia vita”
-

Auawa baada ya kuuza gari yake kwa shilingi milioni 15
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, ACP Stella Mutabihirwa amesema kuwa tukio hilo limetokea Jumamosi Machi 05, 2022 wilayani Manyoni, ambapo siku ya tukio mfanyabiashara huyo alienda mnadani kuuza gari yake shilingi milioni 15.
-

Mwanafunzi nchini Kenya afanya mtihani wa Taifa baada ya kujifungua
Katibu Mkuu wa Elimu, Julius Jwan ambaye alizungumza baada ya kushuhudia kufunguliwa na kusambazwa kwa mtihani huo unaoanza leo nchini humo, kutoka kaunti ndogo ya Kisii ya Kati hadi vituo vya mitihani.
-

Bei ya gesi yapanda maradufu kutokana na hofu ya kukosa usambazaji kutoka Urusi
Urusi ni mojawapo ya nchi zinazozalisha mafuta ghafi kwa wingi zaidi duniani na pia inaongoza kwa kusambaza gesi asilia.
-

Urusi yawakamata zaidi ya watu 5,000 kwa kushiriki maandamano ya kupinga vita vyake na Ukraine
Maandamano ya kupinga vita nchini Urusi yameendelea licha ya onyo kutoka kwa mamlaka na hatari ya kufungwa jela.
-

Amuua mke kisha amzika kwenye shamba
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, ACP Nicodemus Katembo, amesema tukio hilo limetokea Februari 28, mwaka huu, katika kijiji cha Lipalwe mkoani Mtwara
-

Mbowe:Mimi nilikuwa naomba msifute mashtaka haya hadi ukweli udhihirike
Mbowe amesema alitamani sana kuona ukweli unadhihirika katika kesi hiyo kwani alitaka kuona wale walomtuhumu kwa kesi hiyo kuona watatoa ushahidi gani ambao utaidhihirishia dunia kwamba kweli yeye ni gaidi.
-

China iko tayari kupatanisha Ukraine na Urusi inasema urafiki wake na Urusi ni “thabiti’
Beijing imejipata katika hali ngumu ya kidiplomasia katika kipindi chote cha mzozo huo, ikikataa kulaani mshirika wake wa karibu Moscow.







