-

Bashe:Serikali haiwezi kutangaza wazi kuwa inazuia usafirishwaji nje ya nchi bidhaa fulani
Asema kufanya hivyo si jambo jema kwenye biashara, kwa kuwa kuna miongozo ya kanuni za kibiashara.
-

Tanzania opens grain stores in DRC, South Sudan to sell surplus harvest
“We believe access to markets motivates farmers to increase production.”
-

Asbel Kiprop kurudi kwenye riadha baada ya muda wa marufuku kuisha
Kiprop, 32, alisimamishwa kushiriki riadha ya kimataifa Aprili 2019 kwa madai ya kutumia dawa ya kuongeza damu ya EPO
-

Maono ya Zuhura Yunus Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu Tanzania
Asema atafurahi sana akifanikiwa kuweka mfumo mzuri wa mawasiliano baina ya Ikulu na waandishi wa habari
-

Jeshi la Burkina Faso laondoa marufuku ya kutotoka nje
Ghasia zilizotokana na mapinduzi zisababisha vifo vya zaidi ya watu 2,000 na kuwalazimu takriban milioni 1.5 kukimbia makazi yao.
-

Tullow Oil to pump $5m more into Kenyan venture
The firm, which has spent more than $1 billion to prospect for oil and develop wells in Kenya, has seen its annual spending fall significantly over recent years as it continues to shift focus from…
-

World’s first malaria vaccine making inroads in western Kenya
Admissions for malaria are falling, as is the severity of symptoms
-

Makali ya mgao wa umeme yapungua
Naibu Waziri Tanzania amesema tayari TANESCO wameshatafuta njia mbadala ya kudhibiti jambo hilo.
-

Atumia sumu ya panya kujiua baada ya mke kumkataa
Mkazi wa Bariadi mkoani Shinyanga, amekutwa amekufa baada ya kunywa sumu ya panya siku moja baada ya kuachwa na mke wake
-

Aliyeuwa kisa 6000 aachiwa kwa masharti
Mahakama imemuachia kwa masharti ya kutotenda kosa lolote la jinai katika kipindi cha mwaka mmoja







