Africa
-

Wamteka mtoto wa miaka 9 ili walipwe milioni 50
Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Katavi, Kaster Ngonyani amesema watuhumiwa hao ni Joseph John(24) Yusuph Sadick (27) wakazi wa Mtaa wa Milupwa, Abrahamu Kassim (28) Mkazi wa Mtaa wa Misunkumilo Manispaa ya Mpanda…
-

Bashe:Serikali haijazuia watu kuuza mazao nje ya nchi
Waziri wa Kilimo nchini Tanzania, Hussein Bashe amesema Serikali haijazuia watu kufanya biashara ya kuuza mazao nje ya nchi, badala yake kilichozuiwa ni watu kufanya biashara bila kufuata utaratibu wa kisheria.
-

Watiwa mbaroni wakiwa na kilo 60 za bangi
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP Janeth Magomi amesema watuhumiwa hao na vitu hivyo vimekamatwa kwa kipindi cha mwezi mmoja kuanzia tarehe 28/05/2023 hadi tarehe 21/06/2023 kupitia misako na doria mbalimbali.
-

Mkimbizi wa mauaji ya kimbari ya Rwanda Kayishema kuomba hifadhi nchini Afrika Kusini
Bado hakujawa na maombi yoyote rasmi ya kurejeshwa.
-

Five things to know about Sierra Leone
The mineral-rich West African nation’s name derives from the Portuguese words for “Lion Mountains”.
-

Afrika Kusini yapongeza ujumbe wa ‘kihistoria’ wa amani wa Ukraine baada ya mazungumzo
Mpango huu umekuwa wa kihistoria kwa kuwa ni mara ya kwanza kwa viongozi wa Afrika kuanza kazi ya amani nje ya bara hili,” Ramaphosa alisema
-

Umoja wa Mataifa umetoa hofu kuhusu ghasia ‘zinazokithiri’ mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
DR Congo, nchi kubwa yenye utajiri wa madini, sasa ina wakimbizi wa ndani milioni 6.3, idadi kubwa zaidi katika nchi yoyote ya Afrika, ilisema
-

Fear, grief after 41 dead in ‘brutal’ Uganda school attack
Ugandan authorities have blamed the Allied Democratic Forces (ADF), a militia based in DR Congo, and are pursuing the attackers who fled back toward the border with six abductees.
-

Tanzania, Kenya, Uganda and Rwanda read their budgets for the 2023/2024 financial year
East African Community (EAC) countries have read their budgets for the financial year 2023 to 2024
-

Over 400 killed in S.Sudan between January and March: UN
One of the poorest countries on the planet despite large oil reserves, South Sudan’s leadership has faced fierce criticism for failing its people and stoking violence.







