Africa
-

Ujumbe wa amani wa Afrika kuzuru Urusi mwezi Juni au Julai
Nchi za Afrika zimeathiriwa vibaya na kupanda kwa bei ya nafaka na athari kwa biashara ya dunia.
-

Tanzania yajidhatiti kujenga Satelaiti yake
Endapo mpango huo utakuwa dhahiri, Tanzania itakuwa miongoni mwa nchi za Afrika zilizofanikiwa kupeleka kifaa hicho angani, ambazo ni Algeria, Ethiopia, Kenya, Zimbabwe, Afrika Kusini, Morocco, Misri, Ghana na Nigeria, huku Rwanda ikikusudia kufanya hivyo…
-

Ugonjwa wa Shinikizo la Juu la Damu Umeongezeka Kwa 95.4%
Waziri wa Afya nchini Tanzania Ummy Mwalimu amesema takwimu hizi zinaonesha kwamba wagonjwa hao wenye shinikizo la damu wameonekana kuongezeka takribani mara mbili zaidi kwa kipindi cha miaka mitano.
-

African nations to send peace mission to Ukraine, Russia
Russian President Vladimir Putin and Ukrainian President Volodymyr Zelensky have “agreed to receive the mission and the African heads of state- South African President Cyril Ramaphosa said
-

Mahakama ya juu ya Namibia imehalalisha ndoa ya jinsia moja
Ushoga ni kinyume cha sheria nchini Namibia chini ya sheria ya ulawiti iliyotekelezwa mwaka wa 1927 wakati wake chini ya utawala wa Afrika Kusini
-

Sudan becomes battleground for foreign fighters
For the past month, Sudan has been rocked by deadly battles between de facto leader Burhan and his former deputy, RSF commander Mohamed Hamdan Daglo, also known as Hemeti.
-

Prof: Nyagori: Membe amefariki kwa maradhi ya kawaida.
Taarifa hiyo ya daktari inakuja kipindi ambacho kumekuwepo na taarifa za uvumi katika mitandao ya kijamii kuhusu chanzo cha kifo chake.
-

Mwili wa Membe kuzikwa Mei 16
Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe unatarajiwa kuhifadhiwa kwenye nyumba yake ya milele Mei 16, mwaka huu katika kijiji cha Londo mkoani Lindi.
-

Prince Harry: Mirror publisher apologises in phone hacking trial
The publisher of the Mirror has apologized to Prince Harry at the start of a trial over alleged phone hacking. Mirror Group Newspapers (MGN) apologized to Harry and others for unlawful information gathering, and said…
-

Sudanese war displaced double to more than 700,000: UN
The UN refugee agency said on Monday some 150,000 Sudanese had fled to neighbouring countries







