Africa
-

Rais Samia:Nafahamu madhara ya kubadilisha viongozi mara kwa mara.
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, mara nyingi hulazimika kuwabadili viongozi mara kwa mara ili kuepusha madhara zaidi kwa Serikali na wananchi ambayo yangeweza kutokea.
-

Tanzania na Benki ya Dunia yasaini mkataba wa mikopo nafuu na misaada ya shilingi trilioni 1.3
Waliotia Saini mikataba hiyo Jijini Dar es Salaam, ni Waziri wa Fedha na Mpango, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bw. Nathan Belete.
-

Kanisa Katoliki Geita lafungwa kwa muda
Uamuzi huo umetolewa leo na kupitia waraka wa Askofu wa Jimbo Katoliki la Geita, Flavian Kassala, ikiwa ni siku mbili tangu kutokea kwa uvamizi na uharibifu ndani ya kanisa hilo, lililopo Mtaa wa Jimboni, Kata…
-

Tume Ya Uchaguzi Na Mipaka Nchini Kenya (IEBC) Yaibua Vita Vya Kisiasa Kati Ya Rais Ruto Na Raila
Rais William Ruto ameteua jopo la wanachama saba ambalo litasimamia mchakato wa kuwachagua makamishana na mwenyekiti wa IEBC.
-

Zoezi La Kuhesabu Kura Katika Uchaguzi Mkuu Nigeria Laendelea
Wagombea 18 wanawania kiti cha Urais kumrithi rais anayeondoka Muhammadu Buhari, ila watatu pekee ndio wameonekana kuwa mibabe
-

Aliyegongwa na basi la mwendokasi atambuliwa na ndugu zake.
Majeruhi huyo ayetambulika kwa jina la ‘Osam Milanzi’ na kutajwa kuwa mkazi wa Manzese Midizini, ametambuliwa siku moja baada ya kuanza kuongea na kujitaja kwa jina la Osam mkazi wa Manzese.
-

Uchaguzi wa Nigeria 2023: Peter Obi ashinda Lagos dhidi ya Bola Tinubu katika matokeo ya awali
Mgombea urais wa chama cha tatu kwa ukubwa nchini Nigeria alisababisha ushindani mkali ambao ulizua ghadhabu kubwa kwa kushinda katika jiji kubwa zaidi la Lagos. Peter Obi wa chama cha Labour amemshinda Bola Tinubu wa…
-

Chama Cha UDA Chafanya Mabadiliko Katika Uongozi Wake
Gavana wa Embu Cecily Mbarire ameteuliwa kama mwenyekiti wa chama cha United Democratic Alliance (UDA) Chake rais William Ruto.
-

Kenya yapiga marufuku wafugaji kubeba silaha
Rais wa Kenya William Ruto alisema jana kuwa wafugaji wa kaskazini hawataruhusiwa tena kubeba silaha wakati wanachunga ng’ombe wao huku kukiwa na operesheni ya kuwapokonya silaha.
-

Uamuzi Wa Mahakama Ya Upeo Kuhusu Wapenzi Wa Jinsia Moja (LGBTQ) Nchini Kenya Wazua Gumzo Tata
Viongozi wa kidini na wale wa kisiasa serikalini wamejitokeza kushtumu uamuzi huo wa mahakama ambao wameutaja kama kinyume na mila na desturi







