Africa
-

Guinea ex-dictator denies role at 2009 massacre trial
Guinea’s former dictator Moussa Dadis Camara denied responsibility when he took the stand Monday at a trial of officials implicated in a 2009 massacre
-

Twitter Founder Jack Dorsey is in Kenya in a low-key visit
Dorsey, who was among the founders of the social media platform before it was sold to billionaire Elon Musk, surprised staff at Crazy Grill in Parklands when he popped in for a meal before he…
-

South Africa to decriminalise sex work
The sale and purchase of sexual services will no longer be treated as a crime under proposed legislation put forward by the justice ministry
-

ATCL yaomba radhi wateja wake kutokana na usumbufu unaojitokeza kwa wasafiri
Taarifa iliyotolewa na shirika hilo kupitia ukurasa wao wa mtandao wa Twitter shirika hilo limesema juhudi zinaendelea kufanyika ili kurudisha huduma kama ilivyokuwa hapo awali huku likijulisha kuwa ndege moja ya Airbus ipo katika hatua…
-

Kilo 15.19 za heroin zakamatwa zikitaka kusafirishwa
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini Tanzania imekamata kilo 16.643 za dawa za kulevya zikiwamo kilo 15.19 za heroin
-

Maambukizi ya virusi vya corona yaongezeka nchini Tanzania.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mganga Mkuu wa Serikali nchini humo Profesa Tumaini Nagu, visa vipya vya maambukizi ya Uviko-19 vilivyobainika ni 442.
-

Mahakama: Uamuazi wa kumuondoa CAG Assad ulikiuka Katiba
Mahakama Kuu nchini Tanzania kanda ya Dar es salaam imesema uamuzi wa kumwondoa katika utumishi wa umma aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) nchini humo, Profesa Mussa Assad ulikiuka Katiba.
-

Kesi ya Guinea iliahirishwa baada ya aliyekuwa dikteta kuugua
Kesi ya mauaji ya mwaka 2009 nchini Guinea iliahirishwa kwa wiki moja siku ya Jumatatu baada ya dikteta wa zamani Moussa Dadis Camara kusema alikuwa mgonjwa sana kutoa ushahidi
-

Sherehe za uhuru nchini Tanzania kufanyika kivingine
Akizungumza na waandishi wa habari leo Disemba 5,2022 ,Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene amesema kuwa Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania Bara mwaka…
-

Zambia kulazimisha kukatika kwa umeme juu ya viwango vya chini vya maji ya mabwawa
Waziri wa Nishati wa Zambia Peter Kapala aliambia bunge kuwa ukatwaji wa umeme utaanza Desemba 15 na kudumu “hadi viwango vya maji vitakapoimarika”







