Africa
-

Idadi ya waliofariki kutokana na mafuriko mabaya zaidi kuwahi kutokea Afrika Kusini imefikia 300
Mvua kubwa zaidi kuwahi kunyesha katika miaka 60 iliikumba manispaa ya Durban, inayojulikana kama eThekwini.
-

Ripoti ya CAG yaonyesha dosari Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu
Katika ripoti yake ya ukaguzi kwa mwaka 2020/21 CAG Charles Kichere amesema alipitia orodha iliyotolewa ya wanafunzi walio chini ya uhitaji ili kuthibitisha kama mikopo inatolewa kulingana na mahitaji na kubaini kuwapo kwa dosari katika…
-

Bibi amuua mjukuu wake wa siku moja kisa ugumu wa maisha
Kamanda wa Polisi wa Mkoa humo, James Manyama amesema mtuhumiwa alifanya tukio hilo Aprili 9, mwaka huu, saa tano usiku katika Kijiji cha Uvinza Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma.
-

Uber yasitisha huduma zake Tanzania
Yasema itarudisha huduma endapo mazingira ya biashara nchini humo yatakuwa raifiki
-

Ndugai ashangiliwa kwa kishindo bungeni
Ndugai hakuwahi kuonekana katika shughuli yeyote rasmi ya Bunge, ikiwemo ziara na vikao vya kamati za bunge tangu ajiuzulu uspika.
-

Ripoti ya CAG yabaini uwepo wa dawa zilizokwisha muda wake kwenye hopsitali 15
Kwa mujibu wa CAG Kicehere hali hii inatokana na kupokea dawa kutoka kwa wafadhili na Bohari Kuu ya Dawa zenye muda mfupi wa matumizi
-

Takriban watu 60 wafariki katika mafuriko Afrika Kusini
Idadi ya watu waliofariki kutokana na mafuriko na maporomoko ya udongo baada ya mvua kunyesha katika mji wa bandari wa Durban na maeneo ya jirani ya Afrika Kusini katika jimbo la KwaZulu-Natal imepanda hadi 59,…
-

Kampuni ya Urusi yafunga mgodi mkubwa wa dhahabu wa Burkina kwa sababu za kiusalama
Kaskazini mwa Burkina Faso ni kitovu cha mashambulizi ya wapiganaji wa Kiislamu waliovuka mpaka kutoka nchi jirani ya Mali mwaka wa 2015
-

Mamilioni ya Wasomali wapo katika hatari ya njaa: Mashirika ya Umoja wa Mataifa
Wasomali milioni sita au asilimia 40 ya watu sasa wanakabiliwa na viwango vya juu vya uhaba wa chakula, kulingana na ripoti mpya ya Integrated Food Security Phase Classification
-

Treni ya umeme kutumia saa 6 Dar – Tabora
Treni zitakayotumia reli hiyo zitakuwa na mwendokasi wa kilomita 160 kwa saa ambapo zitatumia saa sita kutoka Dar es Salaam hadi Tabora kwa treni ya abiria huku za mizigo zikitembea kilometa 120 kwa saa.







