Africa
-

Aliyemrekodi Prof Jay akiwa ICU apandishwa kizimbani
Washtakiwa hao walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Richard Kabate na kusomewa mashtaka na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Mwanaamina Kombakono.
-

Masauni: Mahitaji ya vituo vya polisi ni makubwa kuliko uwezo wa Serikali.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi nchini Tanzania, Hamad Masauni, amewaomba wabunge, wananchi na wadau kushirikiana katika ujenzi wa vituo vya polisi kwa kuwa ina uhitaji wa vituo vya polisi daraja B, 470
-

Nigeria: Zaidi ya watu 150 bado hawajulikani walipo baada ya shambulio la treni
Baadhi ya abiria walitekwa nyara na walionusurika walisema watu wenye silaha wamewanyakua abiria kadhaa, lakini haijabainika ni wangapi.
-

Mahakama yaidhinisha kifungo cha miaka 25 kwa shujaa wa ‘Hotel Rwanda’
Mahakama ya Rufaa ya Rwanda Jumatatu ilipitisha hukumu ya kifungo cha miaka 25 jela dhidi ya shujaa wa ‘Hotel Rwanda’ Paul Rusesabagina.
-

Ajali nyingine ya treni nchini DR Congo yaua takriban watu saba
Hakuna treni za abiria za kutosha na barabara chache zinazoweza kutumiwa, kwa hivyo watu wanaohitaji kusafiri umbali mrefu mara nyingi husafiri kwa treni ya mizigo.
-

Mahakama kutoa uamuzi juu ya rufaa ya upande wa mashtaka dhidi ya shujaa wa ‘Hotel Rwanda’
Waendesha mashtaka wa serikali walikuwa wamekata rufaa dhidi ya hukumu ya awali, wakisema adhabu dhidi ya Paul Rusesabagina ni ndogo na inapaswa kuongezwa hadi kifungo cha maisha.
-

Amuua mumewe kwa kumchoma na kitu chenye ncha kali kichogoni.
Chanzo cha tukio kimetajwa kuwa ni ugomvi uliotokana na mwanamke ambaye ni mtuhumiwa kuchelewa kurudi nyumbani na alipoulizwa ndipo ulizuka ugomvi uliopelekea kifo cha mwanaume.
-

Ajenda ya 10/30 kuwainua Wakulima nchini Tanzania
Ajenda ya 10/30 ni lengo ambalo Wizara ya Kilimo nchini Tanzania imejiwekea kulifikia mwaka 2030, ambapo kwa sasa Mpango wa Maendeleo wa miaka mitano unaisha mwaka 2025 unaeleza kwamba sekta ya kilimo inatakiwa ikuwe kwa…
-

NCCR Mageuzi wagoma kushiriki kongamano la maridhiano lililoandaliwa na TCD
Msimamo huo umetolewa leo na Mkuu wa Idara ya Sheria na Katiba wa chama hicho, Wakili Boniface Mwabukusi, ikiwa ni maazimio ya kikao cha kamati kuu iliyokutana jana Jumapili chini ya mwenyekiti wake, James Mbatia.








