Africa
-

Bei ya Mafuta huenda ikaongezeka zaidi
Chibulunje amesema soko la dunia la bei ya mafuta imepanda kwa kiasi kikubwa, ambapo kwa mwezi Desemba 2021 tani moja ya mafuta ya petroli ilikuwa inauzwa dola 717, na hadi kufikia Machi mwaka huu ilipanda…
-

Mji mkuu wa Somaliland wapata hasara kubwa baada ya moto kuzuka
Meya wa Hargeisa, mji mkuu wa Somaliland, alikadiria moto ulioteketeza soko la Waheen ulisababisha hasara ya hadi $2B
-

Washindi wakuu katika Tuzo za Grammy za 2022
Jon Batiste alishinda tuzo tano zikiwemo Albamu Bora ya Mwaka.
-

Wapeleka risasi kwa mganga wa kienyeji kwa ajili ya kufanyia zindiko
Jeshi la Polisi mkoani Kigoma linawashikilia watu wawili raia wa Burundi wakiwa na risasi mbili za bunduki aina ya AK 47 ambazo walikuwa wakizipeleka kwa mganga kwa ajili ya kuzifanyia zindiko ili wafaulu kwenye shughuli…
-

Msanii wa Nigeria Davido ashirikishwa katika wimbo rasmi wa Kombe la Dunia Qatar 2022
Onyesho la kwanza la wimbo huo litafanyika usiku wa leo kabla ya droo ya makundi inayotarajiwa kuanza saa 19:00 kwa saa za Qatar.
-

Droo ya Kombe la Dunia la mwaka huu kufanyika mjini Doha leo Ijumaa 1 Aprili
Droo ya Ijumaa itafanyika katika Kituo cha Maonyesho na Mikutano cha Doha, huku washindi wa zamani wa Kombe la Dunia kama vile Cafu na Lothar Matthaeus wakiwa kati ya wasaidizi wa droo.
-

Mapigano ya Darfur, Sudan yaua 45: maafisa waripoti
Mapigano mapya yalizuka Jumanne kati ya watu wa kabila la Fallata na kabila la Kiarabu katika vijiji vya nje ya Nyala, mji mkuu wa jimbo la Darfur Kusini
-

Mo Salah adokeza huenda akastaafu kwenye kandanda baada ya kukatishwa tamaa kushiriki Kombe la Dunia
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 alianza soka akiwa na timu ya taifa ya Misri mwaka 2011.
-

Kinana Makamu mwenyekiti mpya CCM, Membe naye arudishiwa kadi ya CCM
Kikao hicho kilichoketi chini ya mwenyekiti wake Samia Suluhu Hassan kimempitisha Kinana kuchukua nafasi ya Philip Mangula ambaye leo ameandika barua ya kuachia nafasi hiyo
-

Wafuasi wa Zumaridi waomba dhamana
Watuhumiwa wanane ambao ni wafuasi wa Zumaridi wamepata dhamana baada ya kukataa kupatiwa dhamana siku ya kwanza kesi hiyo ilipotajwa, kwa madai ya kukaa na mhubiri wao pamoja hadi atoke.







